Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

Umetumia vigezo gani kukokotoa hesabu yako?
Na siku yakitimia hayo maono yako Tanzania itakuwa imeshaingia katika utawala wa kidikteta na umaskini wa kutupwa.
Nchi zote zilizoendelea zina serikali iliyo imara na upinzani ulio imara.
 
Dawasco imepandisha gharama za maji..huduma za mri muhimbili zimepandaa...vyakula bei zimepanda saihizi nyama kl elfu 9,mchele elfu 2800.Haya majipu yanayotumbuliwa bado cjaona unafuu wangu kwa mm mwananchi wa kawaida aisee shida zimenitamalaki

Nakubaliana na wewe.Kwa sasa watanzania tunapata faraja na maamuzi ya kisiasa yanayofanywa.Ila watanzania matarajio yao makubwa ni kupata unafuu wa maisha.Iwapo hali hii ya kupanda kwa gharama za maisha itaendelea kwa zaidi ya mwaka basi JPM atakuwa na wakati mgumu kurudisha imani ya wapiga kura.
 
Back
Top Bottom