Mpaka leo sijaijua thamani ya 'X'

Huyu nae yupo konfyuzd(confused) kama mimi!!
 
Hitimisho? Elimu lengo lake ni kumtajirisha aipataye? I give up!
 
Hitimisho? Elimu lengo lake ni kumtajirisha aipataye? I give up!
HITIMISHO: Elimu lengo lake ni kumletea mhusika MAFANIKIO... Mafanikio ni uwezo wa kukidhi mahitaji muhimu, uwezo wa kutoka level moja kwenda nyingine.

Mfano: kutoka nyumba ya kupanga kwenda nyumba yako.. ni mafanikio.

Kwa vyovyote vile, pesa na mafanikio haviachani.Huna pesa, huna mafanikio.
 
Big NO.... Big lie.
 
Pesa haiwezi kuwa KIGEZO PEKEE cha mafanikio; na elimu lengo lake kuu haliwezi kuwa pesa. Kwa hiyo akina Albert Einstein, Gregory Mendel, Demetri Mendeleev, Pierre Currie, Galileo Galilei, John Maxwell na wanasayansi wengine, academicians, wanamapinduzi, wanasiasa waadilifu na wasomi wengine wote waliokufa bila kutajirika hawakuwa wasomi na hawakuwa na mafanikio? Mother Theresa alikuwa na mafanikio? Wamishenari walioacha makwao kuja Afrika na kwingineko mpaka wengine wakafia huko wakiwa masikini wa kutupwa walikuwa na mafanikio? Yesu Alikuwa na mafanikio? You have a myopic, childish, materialistic, selfish and crude view of education and human purpose on this planet na kama Afrika tunasimika na kuunda mitaala ya kusomesha watoto wetu kwa lengo la pesa kamwe hatutakaa tuendelee. With this type of core reasoning, THERE IS NO HOPE FOR AFRICA....and I am out!!!
 
I thought utatoa mifano ya akina fulani wa hapa Tanzania.Badala yake unatoa mifano ya watu wa mbali.

Halafu pia, mimi sijasema pesa ni kigezo pekee... lakini ukweli ni kuwa ni kigezo kikuu.Unadhani hao wote uliowatolea mfano wangefanikiwa kufanya project zao pasipo pesa???

Nini kinawakwamisha wasomi wa Tanzania kutimiza ndoto zao kama si pesa? Yesu mwenyewe hakuishi kwa kuunga unga... alikula menu expensive by that time(Samaki na mikate), na kanzu yake ilikuwa ghali kiasi ambacho waliipigia kura.

Halafu wewe leo useme mafanikio bila pesa yanawezekana... never!Utakuwa unajidanganya mwenyewe.
 
On top of that, wamisionari walikuja kufuata rasilimali... so don't even mention them...

Mother Theresa alizaliwa ktk familia ya kitajiri sana, kama angezaliwa ktk familia masikini asingeweza kufanya alichofanya.

Unapoongelea gunduzi za wanasayansi... unaongelea pesa, someone had to invest money in it.Kitu ambacho kipo mpaka leo,... haijalishi umesoma kiasi gani, ukikosa pesa... you're useless.

So in one way or the other, success goes with money.I have made my point clear.

Na mimi mpaka leo, elimu niliyoipata naona hainisaidii chochote... so nataka nijifunze kulima vitunguu... nipate pesa, niwaajiri watu kama nyinyi mnisaidie kuongeza pesa so that mwisho wa siku niwe na POWER!
 
Linganisha pesa na mahusiano mazuri na ndugu zako jamaa na marafiki.
Huna pesa huthaminiwi, hata usipokuwepo vikao vya familia vinaendelea... sasa pata pesa uone, hawafanyi kikao mpaka "mukubwa" ufike.

Look around you, kama huna kitu ukipata rafiki umefanikiwa kichizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…