Mpaka kufikia 2020, Lowassa anaweza kua na Wafuasi wengi sana.

Mlizoea kupiga deal ndyo maana mnaona mambo magumu sasa hivi...unataka mpka serikal ikununulie mboga nyumbam ndyo ukubali kma inachapa kazi...fanya kazi kwa bidii mkuu. Acha kukaa tu then usubiri kila kitu uletewe. Serikal ya jpm ipo makini, na inafanya kazi vizur tu...heri yake mtu asiye na mashaka nayo..viva jpm.
 
Wewe utakuwa mhanga wa waliotumbuliwa kwa uzembe au kwa upigaji deal wenu uliokuwa unawaweka mjini..maana sio bure povu lote hilo. Na ataendelea kupambana na ufisadi na kutumbua wazembe wote kwenye serikalii hiii...maana hamna namna nyingine. Mwendo ni ule ule tu.
 
Amefuta safari za nje zisizokuwa na umuhimu, elimu bure mpka kidato cha nne, ameondoka watumishi hewa takriban 19000. Na anashughulikia mafisadi na wazembe serikalin...sasa unataka achape kazi kiasi gani ndyo uone mkuuu...by z way jpm hafanyi kazi as unavyotaka wewe...yy anafanya kazi kwa kufuata ilani ya CCM na katiba na sheria zingine za nchi yetu. So ukisubiri akufurahishe wewe..utasubiri snaaa.
 
Kwahiyo Pombe kapewa nasio kua alishinda kwa kura ahsante kwa taarifa nyeti kama hizi ..Maana turijua kua hakushinda bali NEC ndio iliyompa hiyo nafasi
Una kila dalili za Ubwege na Ulofa!! Nchi MTU hupewa kwa kupigiwa kura. Lowassa hapewi Nchi kwa kuwa ataanguka vibaya kwenye Uchaguzi!!
 
Kwa jinsi alivyo, kwa siasa zake, kwa mikakati yake, kwa uvumilivu inasemekana kua mvuto wake wa kisiasa unapaa kwa kasi ajabu nchini.

Mh Lowassa anaenda kuvuna kundi kubwa sana la vijana na wasomi watakao mpa nguvu katika mapambano yake juu ya kile anachokiamiani kua anaweza kua kiongozi bora kabisa ndani ya taifa hili.
Hivi mtu anaelekea uzeeni bado anaonekana atalifaa Taifa hili! kana kwamba katika watanzania milioni 50 hakuna mwingine zaidi ya huyu babu?! Maana ifikapo 2020 huyu atakua babu! Mbona watu akili zimekua mgando kiasi hiki!!? Wa tanzania mnaugojwa wa mahaba ya kipumbavu kweli kweli, badala ya ku focus na kuangalia kiongozi gani atatuvusha baada ya awamu hii kwisha, asiwe mtu wa fikra za zamani, awe mtu mwenye umri changamfu anaeweza kukabiliana na changamoto na mikikimikiki ya karne ya 22! Wewe na wenzio kama wewe bado mnaota kula 'VIPORO'. Elimu ya nchi hii iangaliwe upya na kwa makini, pawepo na debates toka shule za msingi ili watu waweze kutafakari na kuchanganua mambo vinginevyo umbumbubu huu utadumu milele.
 
Kwahiyo Pombe kapewa nasio kua alishinda kwa kura ahsante kwa taarifa nyeti kama hizi ..Maana turijua kua hakushinda bali NEC ndio iliyompa hiyo nafasi
Una kila dalilili za ubwege na Ulofa. MTU hupewa Nchi kwa kushinda Uchaguzi. Lowassa hashindi Uchaguzi 2020 ng'o!!
Wasomi wachache ndio wanaomuunga mkono Monduli na tamaa yake ya kutaka Urais na kwa hili ni heli ungempa matumaini kuwa anaungwa mkono na wakulima kwani ndo wengi,ili aendelee na safari yake ya matumaini vizuri 2020.
 
Hivi mtu anaelekea uzeeni bado anaonekana atalifaa Taifa hili! kana kwamba katika watanzania milioni 50 hakuna mwingine zaidi ya huyu babu?! Maana ifikapo 2020 huyu atakua babu! Mbona watu akili zimekua mgando kiasi hiki!!? Wa tanzania mnaugojwa wa mahaba ya kipumbavu kweli kweli, badala ya ku focus na kuangalia kiongozi gani atatuvusha baada ya awamu hii kwisha, asiwe mtu wa fikra za zamani, awe mtu mwenye umri changamfu anaeweza kukabiliana na changamoto na mikikimikiki ya karne ya 22! Wewe na wenzio kama wewe bado mnaota kula 'VIPORO'. Elimu ya nchi hii iangaliwe upya na kwa makini, pawepo na debates toka shule za msingi ili watu waweze kutafakari na kuchanganua mambo vinginevyo umbumbubu huu utadumu milele.

wao wanaamini pesa ni kila kitu , lowasa anapendwa sio kwamba anauadilifu ni pesa alizogawa kwa boda boda na for you movement, na ndo hao waliojaahumu kwenye jamii forum
 
Una uhakika utafika 2025?
Jpm anachapa kazi kazi gani hio?
Au usiku anakuja kwako kuchapa kazi?
Kwa sababu watu wote wanalalamika hali mbaya wewe mwenzetu unasema anachapa kazi, au mnasaidiana na mama J?
Funguka ueleweke
Watu wote wanalalamika? Mnajiaminisha ujinga na ndio maana siku zote inatafuna kwenu.
 
"Kura zangu za urais niachieni nitazilinda mwenyewe"

Baadae ooh wameniibia.... CCM bwana....
Itanichukua miaka 800 kuamini kuwa Lowasa sio CCM...
 
Kama wafuasi wengi wa kwenda monduli kuchunga ng'ombe ts ok..but no one ambaye anajielewa atakaa awaze hivyo mnavyofikir.
 
Back
Top Bottom