Mpaka kufikia 2020, Lowassa anaweza kua na Wafuasi wengi sana.

Kwa jinsi alivyo, kwa siasa zake, kwa mikakati yake, kwa uvumilivu inasemekana kua mvuto wake wa kisiasa unapaa kwa kasi ajabu nchini.


Mh Lowassa anaenda kuvuna kundi kubwa sana la vijana na wasomi watakao mpa nguvu katika mapambano yake juu ya kile anachokiamiani kua anaweza kua kiongozi bora kabisa ndani ya taifa hili.
Kweli atakuwa na wafuasi wengi sana wenye mapungufu ya akili, majuha, machizi, vichaa, na mongor kama wewe
 
Tangu aanze maisha ya siasa Lowasa amekuwa na wafuasi wengi.
Kila mtu anampenda Lowasa ingawa wengine kwa siri siri.
Hata Magufuli ni mfuasi wa Lowasa,.....Ndo maana aliona ni muugiza kukutana na role model wake.
 
Ni kweli lowasa anazidi kujizolea wafuasi wengi sana lkn ikulu hawezi kwenda kwa tume hii. hv umejiuliza kwann sizonje anateua wakurugenzi ambao ni makada? na kwann wanajeshi wengi wanateuliwa kushika nafasi mbalimbali?

Rejea Ya Gambia
 
Hapati Urais ng'o!! Acha apoteze pesa zake!! Nchi hapewi!!
Kwahiyo Pombe kapewa nasio kua alishinda kwa kura ahsante kwa taarifa nyeti kama hizi ..Maana turijua kua hakushinda bali NEC ndio iliyompa hiyo nafasi
 
Wasomi wachache ndio wanaomuunga mkono Monduli na tamaa yake ya kutaka Urais na kwa hili ni heli ungempa matumaini kuwa anaungwa mkono na wakulima kwani ndo wengi,ili aendelee na safari yake ya matumaini vizuri 2020.
 
Awatumikie watanzania kwa kuwaletea balaa kama la richmond? Mwambieni ikulu
Haimpende hata robo mtu kaanza
Kujiandaa tangu 95 na hajafanikiwa wenzake wenye nyota zao ndiyo wako ikulu
Mwambieni huyo babu yenu mnayemuabudu kana kwamba analeta mvua nchi hii hatakuja
Kuwa rais kwamwe tapeli wa
kisiasa za kilaghai hajawahi kuwa
Mikakati isipokuwa tamaa tu
Bora ya yeye kuliko uchwara
 
Hana lolote ana tamaa tu huyu ni
Sawa na nyoka wa bujora makumbusho anatisha kwa sura
Tu na si vitendo tu hana mikakati
Anaamini pesa ndiyo kila kitu
Kitu ambacho kilimshinda kufikia
Malengo yake ya kuwa rais wa nchi mwambieni huyo babu yenu
Tanzania haimuhitaji mtu kama
Yeye uwaziri mkuu ulimshinda
Akiwa rais si ndiyo atauza mpaka ziwa letu kamwambieni hatakuja kuwa rais wa nchi hii huyo ni
Kibogoyo hajui hata kujieleza

Uende ukamtembelee psychiatrist maana una dalili zote za psychosis
 
Hana lolote ana tamaa tu huyu ni
Sawa na nyoka wa bujora makumbusho anatisha kwa sura
Tu na si vitendo tu hana mikakati
Anaamini pesa ndiyo kila kitu
Kitu ambacho kilimshinda kufikia
Malengo yake ya kuwa rais wa nchi mwambieni huyo babu yenu
Tanzania haimuhitaji mtu kama
Yeye uwaziri mkuu ulimshinda
Akiwa rais si ndiyo atauza mpaka ziwa letu kamwambieni hatakuja kuwa rais wa nchi hii huyo ni
Kibogoyo hajui hata kujieleza

Kama una amini ni kibogoyo mpe mkeo uwone atakavyomtafuna
 
Back
Top Bottom