Mpaka kufikia 2020, Lowassa anaweza kua na Wafuasi wengi sana.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,111
2,000
Kwa jinsi alivyo, kwa siasa zake, kwa mikakati yake, kwa uvumilivu inasemekana kua mvuto wake wa kisiasa unapaa kwa kasi ajabu nchini.

Mh Lowassa anaenda kuvuna kundi kubwa sana la vijana na wasomi watakao mpa nguvu katika mapambano yake juu ya kile anachokiamiani kua anaweza kua kiongozi bora kabisa ndani ya taifa hili.
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,731
2,000
Hana lolote ana tamaa tu huyu ni
Sawa na nyoka wa bujora makumbusho anatisha kwa sura
Tu na si vitendo tu hana mikakati
Anaamini pesa ndiyo kila kitu
Kitu ambacho kilimshinda kufikia
Malengo yake ya kuwa rais wa nchi mwambieni huyo babu yenu
Tanzania haimuhitaji mtu kama
Yeye uwaziri mkuu ulimshinda
Akiwa rais si ndiyo atauza mpaka ziwa letu kamwambieni hatakuja kuwa rais wa nchi hii huyo ni
Kibogoyo hajui hata kujieleza
 
Kibwengo

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,948

Asante umeeleweka haya kimbia kachukue buku 5 upoze machungu
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
16,962
2,000
Hana lolote ana tamaa tu huyu ni
Sawa na nyoka wa bujora makumbusho anatisha kwa sura
Tu na si vitendo tu hana mikakati
Anaamini pesa ndiyo kila kitu
Kitu ambacho kilimshinda kufikia
Malengo yake ya kuwa rais wa nchi mwambieni huyo babu yenu
Tanzania haimuhitaji mtu kama
Yeye uwaziri mkuu ulimshinda
Akiwa rais si ndiyo atauza mpaka ziwa letu kamwambieni hatakuja kuwa rais wa nchi hii huyo ni
Kibogoyo hajui hata kujieleza
Ni kweli Lowassa ni Fisadi na ni yeye aliyasema haya maneno yafuatayo:

- Hivi ni Vijisenti tu

-Million 10 ni hela ya mboga tu

-Nyie (watanzania) ni Malofa na Masikini.

Na ni yeye aliyepora Bil 72 za Escrow.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,111
2,000
Hana lolote ana tamaa tu huyu ni
Sawa na nyoka wa bujora makumbusho anatisha kwa sura
Tu na si vitendo tu hana mikakati
Anaamini pesa ndiyo kila kitu
Kitu ambacho kilimshinda kufikia
Malengo yake ya kuwa rais wa nchi mwambieni huyo babu yenu
Tanzania haimuhitaji mtu kama
Yeye uwaziri mkuu ulimshinda
Akiwa rais si ndiyo atauza mpaka ziwa letu kamwambieni hatakuja kuwa rais wa nchi hii huyo ni
Kibogoyo hajui hata kujieleza
Tamaa ya nini? Ukwasi keshabarikiwa na Mungu anao wa kutosha! Hakua mtu wa kufuja anachopata hovyo , hivyo tusimwonee wivu.
Zaidi anachotaka ni kutimiza ndoto yake ya kuwatumikia watanzania na kujijengea heshima tu.
 
Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,085
2,000
wengi watapinga hili ili kuridhisha mioyo yao ila huu ndio ukweli!
Nilikuwa muumini wake ila kwa hili la max sitokaa nimuelewe
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,731
2,000
Awatumikie watanzania kwa kuwaletea balaa kama la richmond? Mwambieni ikulu
Haimpende hata robo mtu kaanza
Kujiandaa tangu 95 na hajafanikiwa wenzake wenye nyota zao ndiyo wako ikulu
Mwambieni huyo babu yenu mnayemuabudu kana kwamba analeta mvua nchi hii hatakuja
Kuwa rais kwamwe tapeli wa
kisiasa za kilaghai hajawahi kuwa
Mikakati isipokuwa tamaa tu
 
Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,856
2,000
Kwa jinsi alivyo, kwa siasa zake, kwa mikakati yake, kwa uvumilivu inasemekana kua mvuto wake wa kisiasa unapaa kwa kasi ajabu nchini.

Mh Lowassa anaenda kuvuna kundi kubwa sana la vijana na wasomi watakao mpa nguvu katika mapambano yake juu ya kile anachokiamiani kua anaweza kua kiongozi bora kabisa ndani ya taifa hili.
Kwani Lowassa ameteuliwa kugombea 2020? Kichekesho!!
 
Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,856
2,000
Tamaa ya nini? Ukwasi keshabarikiwa na Mungu anao wa kutosha! Hakua mtu wa kufuja anachopata hovyo , hivyo tusimwonee wivu.
Zaidi anachotaka ni kutimiza ndoto yake ya kuwatumikia watanzania na kujijengea heshima tu.
Hapati Urais ng'o!! Acha apoteze pesa zake!! Nchi hapewi!!
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
76,410
2,000
Kwa jinsi alivyo, kwa siasa zake, kwa mikakati yake, kwa uvumilivu inasemekana kua mvuto wake wa kisiasa unapaa kwa kasi ajabu nchini.

Mh Lowassa anaenda kuvuna kundi kubwa sana la vijana na wasomi watakao mpa nguvu katika mapambano yake juu ya kile anachokiamiani kua anaweza kua kiongozi bora kabisa ndani ya taifa hili.
Hivi huyu mzee hana kiwanja cha wazi ili Lukuvi aitwe ikulu tutangaze kumnyang'anya ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom