Mpaka kufikia 2020, Lowassa anaweza kua na Wafuasi wengi sana.

Endapo kama mambo yataendelea hivi

basi ni wazi JPM hana chake,
maana kwa sasa wanaomchukia ni wengi sana
Wanaomchukia ni wengi sana kwa utafiti upi?Naomba research methodology,study area, study population,sample technique na sample size,vinginevyo utakuwa unaongea porojo ingefaa uzipeleke SHILAWADU.
 
Kwa jinsi alivyo, kwa siasa zake, kwa mikakati yake, kwa uvumilivu inasemekana kua mvuto wake wa kisiasa unapaa kwa kasi ajabu nchini.

Mh Lowassa anaenda kuvuna kundi kubwa sana la vijana na wasomi watakao mpa nguvu katika mapambano yake juu ya kile anachokiamiani kua anaweza kua kiongozi bora kabisa ndani ya taifa hili.
Lowass nDio nani?
 
Nimechunguza nikagundua wengi/wote wanaomkubali Edo wana element za kupenda wizi wizi. Ebu jitathimini
 
Kwa jinsi alivyo, kwa siasa zake, kwa mikakati yake, kwa uvumilivu inasemekana kua mvuto wake wa kisiasa unapaa kwa kasi ajabu nchini.

Mh Lowassa anaenda kuvuna kundi kubwa sana la vijana na wasomi watakao mpa nguvu katika mapambano yake juu ya kile anachokiamiani kua anaweza kua kiongozi bora kabisa ndani ya taifa hili.
Mkuu hivi Lowasa ameshapitishwa tayari na Chadema kugombea urais hapo 2020? Maana tuliona akina Zitto wakiwa bado Chadema wanaandamwa baada ya kugusia tu kugombea urais uchaguzi uliopita, vipi kwa huyu bwana au na wewe ulikuja na mafuriko hujui taratibu za Chadema kupata mgombea?
Maana imekuwa kila siku unaanzisha maada za Lowasa na mbio zake za kuisaka Ikulu zilizoshindwa kwa mda mrefu.
 
Hahahaaaa! yaan ameshindwa kuchukua nchi chini ya raisi dhaifu, kweli ataweza kuchukua nchi chini ya dikteta?
Nawashauri ukawa ikifika 2020 kama EL atagombea uraisi kwenye kampeni wawe wanampa dakika za kutosha kueleza nini ataifanyia Tanzania, yaani mtu ambaye anataka tumpe nchi anaongea dk 5 alafu wapambe wengine ndiyo wanabwabwaja zaidi dk 20, huu ni uhuni.
 
Hana lolote ana tamaa tu huyu ni
Sawa na nyoka wa bujora makumbusho anatisha kwa sura
Tu na si vitendo tu hana mikakati
Anaamini pesa ndiyo kila kitu
Kitu ambacho kilimshinda kufikia
Malengo yake ya kuwa rais wa nchi mwambieni huyo babu yenu
Tanzania haimuhitaji mtu kama
Yeye uwaziri mkuu ulimshinda
Akiwa rais si ndiyo atauza mpaka ziwa letu kamwambieni hatakuja kuwa rais wa nchi hii huyo ni
Kibogoyo hajui hata kujieleza
Una akili fupi
 
Thubutuuuuu.....lowasa ikulu ni asahau. Jpm atamaliza muda wake vizur tu mpka 2025, na hapa sio kwamba ndyo mwisho wa ccm..
Nop atakuja mwingine mchapa kazi tu kama jpm. Maana ccm ina hazina ya kutosha ya watu makini wa kuweza kuongoza nchi hii.
 
Mpaka 2015 alikuwa na wafuasi wengi zaidi ya ccm yote ila haya majamaa yaliiba sn na bado yakaishia kupata 61%
 
Hahahaaaa! yaan ameshindwa kuchukua nchi chini ya raisi dhaifu, kweli ataweza kuchukua nchi chini ya dikteta?
Nawashauri ukawa ikifika 2020 kama EL atagombea uraisi kwenye kampeni wawe wanampa dakika za kutosha kueleza nini ataifanyia Tanzania, yaani mtu ambaye anataka tumpe nchi anaongea dk 5 alafu wapambe wengine ndiyo wanabwabwaja zaidi dk 20, huu ni uhuni.
Haya huyo babu yako anayeongea zaidi ya dk 20 unaona anavyoifanya nchi kama mkewe?
Kavuruga kila kitu
 
Thubutuuuuu.....lowasa ikulu ni asahau. Jpm atamaliza muda wake vizur tu mpka 2025, na hapa sio kwamba ndyo mwisho wa ccm..
Nop atakuja mwingine mchapa kazi tu kama jpm. Maana ccm ina hazina ya kutosha ya watu makini wa kuweza kuongoza nchi hii.
Una uhakika utafika 2025?
Jpm anachapa kazi kazi gani hio?
Au usiku anakuja kwako kuchapa kazi?
Kwa sababu watu wote wanalalamika hali mbaya wewe mwenzetu unasema anachapa kazi, au mnasaidiana na mama J?
Funguka ueleweke
 
Mkuuu st ivuga povu la nini sasa? unahitaj macho mangapi kuona jpm anachapa kazi? serikali hii mpka sasa umefanya mambo mengi tu muhimu na yenye maslahi na nchi...kama huoni kazi inayofanyika na serikali ya ccm basi nahis unamatatizo sio bure.
 
Back
Top Bottom