Mpaka COVID 19 iishe ndio atatoa papuchi

Mpaka COVID 19 iishe ndio atatoa papuchi

Mr worldwide

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
348
Reaction score
740
Wakuu itifaki imezingatiwa, kila mtu anafuata tahadhali dhidi ya Corona

Hili li-pandemic limekuja na changamoto kibao, licha ya jiji letu hili halijapigwa lockdown lakini kuna watu wamechukua hatua zaidi mpaka kuathiri mambo ya muhimu na matamu katika maisha

Huyu mwanamke anaishi kwao na wazazi wake huko Ununio, kabla ya corona kuitikisa dunia na nchi hii ilikuwa kawaida sama kila wiki tunakutana na papuchi nilikuwa napewa bila vikwazo tena bureee kabisa. Ajabu nchi bado haijawekwa karantine yaani lockdown, yeye anasema kwasasa hawezi toka kwao kwasababu ya Corona

Amekuwa mkali sana katika issue ya kuhitaji atoe papuchi, anasema atatoa mpaka Corona iishe

Wakuu hapa kuna mapenzi kweli, au ndio kipindi hiki amejikarantini na mwingine huko?

Kwahiyo Corona isipoisha sitapata papuchi wakuu, hii hali itafutiwe mbadala kwa kweli

Kurudi kule nilipokuwa sihitaji {goli la nape}

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi tu mkuu. Nyumbani kumenoga hamna hata siku moja mkono ulishawahi kumpiga mwanaume vizinga vya hovyo hovyo. [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂sasa kwani wewe Corona hujaelewa bado, na hizo personal contact ndio hazifai kabisa.
 
😂😂😂😂
Wakati wewe unaambiwa subiri Corona iishe kuna mwenzako anaambiwa "Wewe tu na muda wako"
Mapenzi yana wenyewe.
 
Back
Top Bottom