Hivi hii tafsir ya Mozambique ilitoka wapi na kuwa Msumbiji?
Sasa Kenya itakuwa nini kwa kidhungu?
Au neno Zanzibar ni kiswahili kweli?
Moreno=dark skinned,dark haired.
Wareno=wazungu dark.
Au wao walivyotuita watu wa pwani ya mashariki na sisi tukawageuzia kibao.
Egypt=misri(the right way)
ninaposema hakuna uhusiano namaanisha hakuna uhusiano wa kimaana na siyo wa neno. ie. "france" tungeweza kuiita karata na hakuna ambaye angebisha. america "bweha" nk.Granted kuna majina kama Ureno na Portugal ambayo hayana uhusiano (ningependa kujua historia yake, najua ipo).
Lakini utakataa kwamba Marenani na America hamna uhusiano? Ufaransa na France hamna uhusiano? Ujerumani na Germany hamna uhusiano?
Moçambique ndio kireno kwahiyo wanalitamka hivyo labda kwasababu ya lafudhi,wewe unasikia "Msambiki"Wamakonde asilia wanatamka (msambiki) labda ndiyo huko jina la msumbiji lilikotokea!
Mnapojadili haya mambo ya majina ya nchi, hebu jifurahisheni kidogo kwa hili - je, mnafahmu kuwa maneno yote ya lugha ya Kiswahili yanaishia na aidha A, E, I, O au U yaani vowels tu?
Kuna mtu mmoja alitokea arabuni anaitwa Mussa Mbiki alifiaWamakonde asilia wanatamka "msambiki" labda ndiyo huko jina la msumbiji lilikotokea!
Haitokani na lugha bali muunaniko wa majina ya: TANGANYIKA+ZANZIBAR= TANZANIATanzania je, imetokana na Lugha gani?.
Haitokani na lugha bali muunaniko wa majina ya: TANGANYIKA+ZANZIBAR= TANZANIA