Moyo wangu haujawahi kukupenda

Moyo wangu haujawahi kukupenda

Khaaaaa

Sasa hivi moyo wa jamaa ndio umempenda???

Shosti wanaume wote hawa hawaoni mpaka akale makombo???
 
Nkafikir miaka 15 ya ndoa.
Bado shost ako anaweza rejesha jesh kwa jamaa na wakaendelea na maisha mrad tu ndoa ya kwanza iwe imekufa kifo kikuu las ivyo atakua anajimezesha bomu
Hapa kuna mawili kuna wale wanaoangalia fursa na kuna mapenzi. Suu ya mapenzi ni maudhi, kama ni kwa fursa, anaweza kwenda ila kwa mapenzi ni big no.
 
Mkuu Kaboom, huyo shost yake nae ni fungu la kukosa 'if at all nae anayataka mahusiano stable'. 15yrs bila bila, 40's huyo asipoangalia atakuwa sehemu ya vidume kupumzikia na kusepa tu.
Sure Bratan..Sijui anataka kugundua nn huyu..Mi nadhani abaki alone tuu..Moyo ushakuwa sugu
 
Haya ni maneno aliyotamkiwa shots na boyfriend miaka 15 iliyopita. Wakati huo shost mapenzi yalikuwa yamejaa tele kwa jamaa. Hakuwa na jinsi aliuguza majeraha, wakati hup jamaa alishampata mwingine wa kifunga nae ndoa.

Yaliyotokea kwenye ndoa ni siri Yao lakini kwa kifupi ndoa chali na jamaa Yule anamwangukia shost penzi lianze upya, shost aliponieleza jana sikuwa na jibu la kumpa ukizingatia na joto la huku kwetu Kwamtogole na hasira niliyokuwa nayo. Mnaweza kumshauri shost hapa wakuu?

Hii inatokeaga pande zote kuna mtu alimwagwa na demu wamemaliza chuo mwisho pale demu kamwambia jamaa tukitoka hapa ndio mwisho anakuja rudi kwa jamaa miaka karibu 10 baadae(Baada ya kupewe talaka huku alikoenda) jamaa ashaoa ana toto 3 , wanaume sie sio wachoyo akawa anapiga nje cup bila shida.
 
Kama anamfeel amkubalie tu mara nyingine inakuchukua miaka 20 kujifunza jambo la muda mchache isitoshe maneno ya wakati huo yalikuwa sahihi wakati huo mambo yashabadilika sasa. Watu hukosea elimu itakuwa mwenza.
 
Wananifurahisha wanaume wanapoondoka kwa mbwebwe yakiwafika wanarudi wakiwa wadogo

Wanaondoka wanatema mbovu, kukibuma huko walikokimbilia wanarudi mikono nyuma. Ila baadhi ya wanaume mishipa ya noma iliwakatikaga kitambo, unamwacha mdada kwa kashfa then baadae yakikushinda unataka kurudisha majeshi? Hivi huwa hamkumbukagi zile kashfa mnazozitoaga wakati mnaondoka? [emoji57]
 
Khaaaaa

Sasa hivi moyo wa jamaa ndio umempenda???

Shosti wanaume wote hawa hawaoni mpaka akale makombo???

Jamaa alimtamkia maneno mabaya sana. Huyu shosti namshangaa hata anapotaka ushauri. Ningekua mimi wala nisingetaka ushauri. Ningemwambia jamaa maneno kama alivyoniambia wakat anaondoka
 
Kama anamfeel amkubalie tu mara nyingine inakuchukua miaka 20 kujifunza jambo la muda mchache isitoshe maneno ya wakati huo yalikuwa sahihi wakati huo mambo yashabadilika sasa. Watu hukosea elimu itakuwa mwenza.
Adjustments ni nyingi hapo, mlidate mkuwa vijana sasa anakuja na watoto wake ghafla tu umekuwa mama wa kambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom