Kuna mambo madogo madogo kutoka kwa wanawake huwafanya wanaume kuwakimbia wanawake. Siku wanawake wakilifanyiakazi hili mahusiano yatadumu.Wananifurahisha wanaume wanapoondoka kwa mbwebwe yakiwafika wanarudi wakiwa wadogo
Mwanaume akitafuta sababu ya kukuacha hataikosa
Mkuu Kaboom, huyo shost yake nae ni fungu la kukosa 'if at all nae anayataka mahusiano stable'. 15yrs bila bila, 40's huyo asipoangalia atakuwa sehemu ya vidume kupumzikia na kusepa tu.Duuh..Kwa miaka 15??..Au bado alikuwa anauguza majeraha ya kuachwa
Hahahahhahahaa uuwiiii umeniachaa hooiii mbayaaaa. Mamaaeee zake huyo jamaaa.Wanaelewa ila wanajitoa fahamu,sasa mtu kama huyo mie namkumbusha kua bwana wewe ulisema 12345,sasa ebu fikiria tena hapo kanikuta na mood nzuri akiwakuta wenyewe wamo ndio namwambia mie wala ulikua huniridhishi nilikua nastahmili tuu sasa kurudia matapishi sorry lakini siwezi..lol
Hakuwa mke miaka 15 waliachana miaka 15, jamaa akaoa Amelia na mke roughly miaka 5 ndoa ikafa natural death sasa anabeg kurudi kwa zilipendwaKakaa na mke miaka kumi na tano wemeachana.
Huyu miaka kumi na tano hajaolewa anatafuta wa type ya yule,,,,,,ebu tumrudie MUNGU maana ule mwisho unakaribia
Amkubali tu, sasa 40's atampata nani wa kuwa nae kwenye stable relationship?Unataka amkubali jamaa yaishe? Akiamua kuokoka je?
Kudanga ni nini?Mimi ningeanza kudanga upya huyu kila akiniudhi hii sentence hairanitoka kichwani
Nkafikir miaka 15 ya ndoa.Hakuwa mke miaka 15 waliachana miaka 15, jamaa akaoa Amelia na mke roughly miaka 5 ndoa ikafa natural death sasa anabeg kurudi kwa zilipendwa