Moyo unabubujika machozi

Moyo unabubujika machozi

Pole sana Mamaa Africa, hii dunia watu wake ndivyo walivyo, futa machozi endelea na maisha kama kazini usidhubutu kuacha kwenda ibada ni muhimu sana, jmosi huendi kazini nenda ibadani jpili vile vile achilia labisa moyo wako, na usipende kumsimulia kila mtu ongea na Mungu wako, faraja ipo kwa Mungu peke yake, akupendaye atakuja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cry all you need darling. Cry your heart out, ila ukishamaliza promise yourself you will never shed tears over the same man again.

Sisi wanawake, when we love, we love for real. Na ndo maana tukiachwa huwa hatuelewi. We still believe there is a chance ya kurekebisha mambo and to try again.

Ila wenzetu wapo tofauti and especially when they meet someone new. It's easy for them to move on.

Kubali yaishe sweets. Kubali kwamba umefika mwisho and he will no longer be happy with you. Na wewe kubali kwamba hutawahi kuwa happy kuishi na mtu ambae moyo wake upo kwingine. Let him go.

Kama una watoto, focus more on them. Kama umeajiriwa weka na kamradi kengine ka kukuweka bize. You are going to be okay. Usijiulize watu watakuonaje. Wewe sio wa kwanza kuachika na sio wa mwisho.

It's just a matter of time atakuja kukugongea wanting to come back. Hapo umesha move on na kukutana na mtu anaekupenda na kukuthamini.
Haka kapost kanaweza kupata nafasi kwenye misahafu wallah.... Waraka wa kwanza wa Karucee kwa wanawake wote
 
Pole sana Mamaa Africa, hii dunia watu wake ndivyo walivyo, futa machozi endelea na maisha kama kazini usidhubutu kuacha kwenda ibada ni muhimu sana, jmosi huendi kazini nenda ibadani jpili vile vile achilia labisa moyo wako, na usipende kumsimulia kila mtu ongea na Mungu wako, faraja ipo kwa Mungu peke yake, akupendaye atakuja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau hata huyo anayemliza alimpenda ndio maana akamuoa.

Anaweza kuja mwingine ndio akammaliza mazima.
 
Babu haya maisha ya ndoa yaache kama yalivyo, huyo huyo anyemtukana mwenzie huko
aliko anaweza asipate alichofuata na mwisho wake akarudia matapishi yake ,
ngoja akachunwe huko baadaye huyo naye atakuwa na mwingine labda kampendea pesa,
na siku ya kurudi atarudi kwa machozi yeye amuombe Mungu yawezekana mchepuko
umembana tu ila Mungu hapendi kuachana kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cry all you need darling. Cry your heart out, ila ukishamaliza promise yourself you will never shed tears over the same man again.

Sisi wanawake, when we love, we love for real. Na ndo maana tukiachwa huwa hatuelewi. We still believe there is a chance ya kurekebisha mambo and to try again.

Ila wenzetu wapo tofauti and especially when they meet someone new. It's easy for them to move on.

Kubali yaishe sweets. Kubali kwamba umefika mwisho and he will no longer be happy with you. Na wewe kubali kwamba hutawahi kuwa happy kuishi na mtu ambae moyo wake upo kwingine. Let him go.

Kama una watoto, focus more on them. Kama umeajiriwa weka na kamradi kengine ka kukuweka bize. You are going to be okay. Usijiulize watu watakuonaje. Wewe sio wa kwanza kuachika na sio wa mwisho.

It's just a matter of time atakuja kukugongea wanting to come back. Hapo umesha move on na kukutana na mtu anaekupenda na kukuthamini.
Ila wewe dada acha tu niendelee kukupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu haya maisha ya ndoa yaache kama yalivyo, huyo huyo anyemtukana mwenzie huko
aliko anaweza asipate alichofuata na mwisho wake akarudia matapishi yake ,
ngoja akachunwe huko baadaye huyo naye atakuwa na mwingine labda kampendea pesa,
na siku ya kurudi atarudi kwa machozi yeye amuombe Mungu yawezekana mchepuko
umembana tu ila Mungu hapendi kuachana kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huwa unamwomba Mungu au bado hujaingia kwenye fani?
 
Habari

Najua sikupaswa kupost hapa lakini namna navyojisikia anaeelewa ni Mungu pekee, nipo ndani na mwanangu nimelia sana nahisi nakosa control hadi mtoto naye analia, nikaona acha nipost Jf yamkini nikakaa sawa

Tumekuwa na mgogoro mwaka sasa ndani ya ndoa uliopelekea kutengana japo si kisheria

Si mgogoro mzito kwa watu wenye kuijua thamani ya ndoa mana ni miss understanding za kawaida hasa kwa sababu tumetofautiana kimitazamo kimalezi na hata mazingira tuliyokulia.

Nimekaa kimya mda mrefu sijamtafuta mwenzangu mana alisema niachane naye nisimtafute leo nikamkumbuka sana sababu ni mwanaume nayempenda kupita kiasi nikapiga moyo konde nisimtafute but hisia zikazidi akili nikampigia kama mara 7 hakupokea, nikamtext kumplease tuongee tofauti zetu kwa mara nyingine ikiwezekana tujirekebishe tuendelee na maisha.

Katika kuchart chart nikawa najaribu kujishusha nambembeleza tu yaishe akanitumia hii sms iliyolowanisha moyo wangu kwa machozi

Nanukuu

"" "
Hata hivyo, najua unaning'ang'ania kwasababu una maisha magumu, laiti ungekuwa na maisha mazuri, tusingesumbuana hapa kila leo. Nakuombea Mungu akupe maisha mazuri ili tuache kusumbuana, "

Nimehisi kama moyo unapasuka kwa sms hii, kiukweli sina maisha magumu kama nilivyoambiwa angalau naweza kula vizuri kuvaa mimi na mwanangu na mambo mengine mengi ila nishaambiwa maisha magumu ndo yanapelekea nimsumbue kutaka kuelewana.

Naombeni mnifariji mana moyo unabubujika machozi nimelia sana kwa maneno hayo toka kwa mume

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana had mie nimelia,ila kulia mbele ya mtoto unamuathiri kisaikolojia,maana hayo n ya wazazi tu,kingne hujawajua wanaume vzur the way wanavyo react ktk mahusiano,dada ktk ndoa hakuna eti jambo n dogo halitoweza kuwaachanisha,mwanaume anaweza akakuacha kwa kitu kidogo saaaaana,wanawake weng wanahisi ili kudumu ktk ndoa n kuacha kuchepuka tu,la hasha,kuna vitu vidogo sana vitapelekea muachane,kwanza mwanaume hapendi kujibizana na mwanamke,ukijibizana nae atahisi unamzarau,kingne kama unajua umemkosea usiruhusu siku ipite bila kujishusha na kuomba msamaha(hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu),kuruhusu kwako siku kupita au wiki kunatengeneza wingi wa hasira na chuki kwa mwanamme,wewe unahisi yameisha kumbe mwenzio anayo kichwani na akilin(naamin hata hyo meseji amekujibu kwa hasira),usishangae hasira ulizompa anatulizwa na mwajuma nichokonoe(nakutania tu),wew yatambue makosa yako na ya-treat equally sio hili kubwa na hili dogo,mtafute face2face muangukie na umuombe msamaha hatokataa kukusamehe,maana naamini hajakufukuza ila umejifukuza,kama anakutuhumu kosa ambalo hujafanya au yeye ndo mkosaji ila tuhuma kaleta kwako,wew jishushe(usijibizane nae),omba msamaha,hasira zikimuisha ndo muelweshe tu(mme wangu nakupenda sana,lakin kiukweli wew ndo ulinikosea hik na kile huku unamshikashika kifua,onesha mahaba tu,hakika atakuomba wew msamaha),wanaume n kama mkate kwa wanawake ambao n chai na hakuna mkate mgumu ktk .....
(KARIBU CHAI NA MKATE DADA)
 
Pole sana dada kwa mikasa iliyokukuta ni upepo mchafu tu umepita hapo nakuomba muombe mungu jikite kwenye maombi kama ni wako atarudi kama sio wako mungu atakupa wa kufanana na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari

Najua sikupaswa kupost hapa lakini namna navyojisikia anaeelewa ni Mungu pekee, nipo ndani na mwanangu nimelia sana nahisi nakosa control hadi mtoto naye analia, nikaona acha nipost Jf yamkini nikakaa sawa

Tumekuwa na mgogoro mwaka sasa ndani ya ndoa uliopelekea kutengana japo si kisheria

Si mgogoro mzito kwa watu wenye kuijua thamani ya ndoa mana ni miss understanding za kawaida hasa kwa sababu tumetofautiana kimitazamo kimalezi na hata mazingira tuliyokulia.

Nimekaa kimya mda mrefu sijamtafuta mwenzangu mana alisema niachane naye nisimtafute leo nikamkumbuka sana sababu ni mwanaume nayempenda kupita kiasi nikapiga moyo konde nisimtafute but hisia zikazidi akili nikampigia kama mara 7 hakupokea, nikamtext kumplease tuongee tofauti zetu kwa mara nyingine ikiwezekana tujirekebishe tuendelee na maisha.

Katika kuchart chart nikawa najaribu kujishusha nambembeleza tu yaishe akanitumia hii sms iliyolowanisha moyo wangu kwa machozi

Nanukuu

"" "
Hata hivyo, najua unaning'ang'ania kwasababu una maisha magumu, laiti ungekuwa na maisha mazuri, tusingesumbuana hapa kila leo. Nakuombea Mungu akupe maisha mazuri ili tuache kusumbuana, "

Nimehisi kama moyo unapasuka kwa sms hii, kiukweli sina maisha magumu kama nilivyoambiwa angalau naweza kula vizuri kuvaa mimi na mwanangu na mambo mengine mengi ila nishaambiwa maisha magumu ndo yanapelekea nimsumbue kutaka kuelewana.

Naombeni mnifariji mana moyo unabubujika machozi nimelia sana kwa maneno hayo toka kwa mume

Sent using Jamii Forums mobile app
chart = chat
 
We tafuta mwenzio wa kukupunguza hizo nyege tu utaona unamsahau mmeo

Pole sana mama. Let me find you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kuangalia chanzo lakini kumbuka maumivi ambayo pengine uliwahi kuya sababisha kwake na mwisho angalia saana hurka yako wakati unapo kuwa na kitu , kwasababu ukisoma nature ya sms aliyo kuandikia una gundugua kwamba huenda unapokuwa na vijisent huwa una msumbua na ndo maana amehisi wewe huenda kwa sasa humfai kwasababu tabia ya mtu huanza kuonekana mara tu baada ya kupata fedha sasa kwa kuwa anajua sasa mambo ni doro huko kwako , kumbe huenda ni mapenzi bandia yanayo ongozwa na hali ya kuto kuwa navho kwa muda lakini ukipata yatarudi yaleyale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom