Moyo unabubujika machozi

Moyo unabubujika machozi

Dah(inamaana unampenda sabab yeye tajir wew huna kitu)
dear sister yote mipang ya MUNGUhuwez jua mungu ameepusha nin any way MUNGU anaua nan kwajil yako uskute mie noah ndo tulizo lako milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana..
Na hilo pia litapita..
Utasahau..
Omba kwa sana.. Hiyo sasa ni opportunity ya kuwa karibu na Mungu wako
 
Pole sana...Haya masuala ya ndoa yanatisha sana kila nikifikilia naona niwe bachelor sugu sina presha wala manunguniko mwendo kula bata..
 
Inavoonekana kakereka sana katika kutokuelewana kwenu kiasi cha kutumia maneno makali hivo!!.

Jipe ujasiri wa kusamehe na kusahau ili upate amani ya moyo vinginevyo unaweza jisababishia magonjwa ya moyo ukataabika zaidi.

Epuka kuweka kisilani na kujiapiza vitakumaliza wewe mwenyewe.

Maisha yanaendelea. Pole
 
Cry all you need darling. Cry your heart out, ila ukishamaliza promise yourself you will never shed tears over the same man again.

Sisi wanawake, when we love, we love for real. Na ndo maana tukiachwa huwa hatuelewi. We still believe there is a chance ya kurekebisha mambo and to try again.

Ila wenzetu wapo tofauti and especially when they meet someone new. It's easy for them to move on.

Kubali yaishe sweets. Kubali kwamba umefika mwisho and he will no longer be happy with you. Na wewe kubali kwamba hutawahi kuwa happy kuishi na mtu ambae moyo wake upo kwingine. Let him go.

Kama una watoto, focus more on them. Kama umeajiriwa weka na kamradi kengine ka kukuweka bize. You are going to be okay. Usijiulize watu watakuonaje. Wewe sio wa kwanza kuachika na sio wa mwisho.

It's just a matter of time atakuja kukugongea wanting to come back. Hapo umesha move on na kukutana na mtu anaekupenda na kukuthamini.
Wewe umeongea ukweli mtupu lkn mgumu kumeza ilishwah nikutaga...nlilia nkaapa cttomtaka tena maisha alikuwa n mpenz tu lkn alivyord nkajikuta moyo unarmed cjui kwann cna roho ngumu...yani nlilia mpka macho yakakauka akaja kunrdia kiulain Sana..ila now cpo naye tena...ila hyo point ngumu kumeza I wish ningekuwa naweza
 
Habari

Najua sikupaswa kupost hapa lakini namna navyojisikia anaeelewa ni Mungu pekee, nipo ndani na mwanangu nimelia sana nahisi nakosa control hadi mtoto naye analia, nikaona acha nipost Jf yamkini nikakaa sawa

Tumekuwa na mgogoro mwaka sasa ndani ya ndoa uliopelekea kutengana japo si kisheria

Si mgogoro mzito kwa watu wenye kuijua thamani ya ndoa mana ni miss understanding za kawaida hasa kwa sababu tumetofautiana kimitazamo kimalezi na hata mazingira tuliyokulia.

Nimekaa kimya mda mrefu sijamtafuta mwenzangu mana alisema niachane naye nisimtafute leo nikamkumbuka sana sababu ni mwanaume nayempenda kupita kiasi nikapiga moyo konde nisimtafute but hisia zikazidi akili nikampigia kama mara 7 hakupokea, nikamtext kumplease tuongee tofauti zetu kwa mara nyingine ikiwezekana tujirekebishe tuendelee na maisha.

Katika kuchart chart nikawa najaribu kujishusha nambembeleza tu yaishe akanitumia hii sms iliyolowanisha moyo wangu kwa machozi

Nanukuu

"" "
Hata hivyo, najua unaning'ang'ania kwasababu una maisha magumu, laiti ungekuwa na maisha mazuri, tusingesumbuana hapa kila leo. Nakuombea Mungu akupe maisha mazuri ili tuache kusumbuana, "

Nimehisi kama moyo unapasuka kwa sms hii, kiukweli sina maisha magumu kama nilivyoambiwa angalau naweza kula vizuri kuvaa mimi na mwanangu na mambo mengine mengi ila nishaambiwa maisha magumu ndo yanapelekea nimsumbue kutaka kuelewana.

Naombeni mnifariji mana moyo unabubujika machozi nimelia sana kwa maneno hayo toka kwa mume











Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana karibu pm kwa faraja zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni wako kama hana mahusiano na mtu mwingine,mfuate anakoishi mzungumze faragha;una nafasi kubwa ya kumbadilisha.
 
Yani kama nakuona ambavyo upo now hakuna kitu kinaenda kwako...kila mud unamuona yeye..ila piga moyo konde huyo hajakupenda kama ww ulivyompnda..kubali matokeo mpnz hayo n mambo y kawaida japo magumu mnooooo kukubaliana nayo...mm ilishanikutaga nkasema ngoja njrd yaishe tuendlee na mpnz wangu lkn ndo aliniona boya mara 100 akzd kunidharau...cjui wanaume wamebwaje...mwanaume hawez kukthamini upendo unaompa...mm kuna mkaka alinitolea maneno makali nice kufa..kila nkimuona moyo ulikuwa unapasuka...nakushaur u move on japo co rahc..na hakna step ngumu kama hyo..mm mwnyw ilinshndaga nkawa kinganganiz yalinikuta nlijikuta moyo wenywe unaelewa...kaza moyo sana kubali matokeo
 
Wanaume na kauli zao za kukera duuuh!!!
 
ukiachwa achika ndugu....kuna mwingine akikuacha hakamwimbii ila utauona tu vitendo hasemi anakupenda hakupi zawadi kama mko mbali hakujulii hali mara kwa mara yaan hakujali .sasa shukuru huyo kasema wazi...cha msingi songa mbele Mungu ataleta mwingine utamsahau huyo mfilisti...pia kumbuka wajibu wako kama mkristo n.a. wewe ni mwanamke ni wajibu wako ni kutii tu n.a. sio kupenda.. kupenda huleta shida kwa mwanamke...mana sio wajibu wako......ila upendo kwa watu wote ruksa.kwa mpenzi utii ndio sehemu yako..sharp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kama nakuona ambavyo upo now hakuna kitu kinaenda kwako...kila mud unamuona yeye..ila piga moyo konde huyo hajakupenda kama ww ulivyompnda..kubali matokeo mpnz hayo n mambo y kawaida japo magumu mnooooo kukubaliana nayo...mm ilishanikutaga nkasema ngoja njrd yaishe tuendlee na mpnz wangu lkn ndo aliniona boya mara 100 akzd kunidharau...cjui wanaume wamebwaje...mwanaume hawez kukthamini upendo unaompa...mm kuna mkaka alinitolea maneno makali nice kufa..kila nkimuona moyo ulikuwa unapasuka...nakushaur u move on japo co rahc..na hakna step ngumu kama hyo..mm mwnyw ilinshndaga nkawa kinganganiz yalinikuta nlijikuta moyo wenywe unaelewa...kaza moyo sana kubali matokeo

Umeshapata wa kuchat nae?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom