Moyo unabubujika machozi

Moyo unabubujika machozi

Pole sana, kuna kipindi tunashindwa kuelewa mambo madogo sana, aliposema unamaisha magumu si kwa maana huna uwezo wa kumudu mahitaji yako ya chakula malazi na mavazi, furaha unayoikosa ni maisha magumu sana, siku zote mapenzi na mahusiano yamekua utumwa kwa watu wengi, cha msingi find other way ambayo unaweza pata furaha, kumfikilia mtu aliyekutoa kwenye ramani ya maisha yake ni kujipotezea muda, kubali tu muda wako kwake umeisha ukiendelea kung'ang'ania utaumiza moyo wako zaidi ya hali ya leo.
 
Kwa hiyo ushakuwa single mom tayari daaa wanaume tuna roho mbaya sana.

Binafsi siwezi judge hilo maana ni ya upande mmoja, hatujui upande wa pili, ila haizuii kukupa pole tena pole ya dhati toka moyoni.
Hold it and keep moving.
May God be your comforter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jioni hii haijakaa vizuri kwangu

Tumekuwa na mgogoro mwaka sasa ndani ya ndoa uliopelekea kutengana japo si kisheria

Si mgogoro mzito kwa watu wenye kuijua thamani ya ndoa mana ni miss understanding za kawaida hasa kwa sababu tumetofautiana kimitazamo kimalezi na hata mazingira tuliyokulia.

Nimekaa kimya mda mrefu sijamtafuta mwenzangu mana alisema niachane naye nisimrafute leo nikamkumbuka sana nikampigia akupokea, nikamtext kumplease tuongee tofauti zetu kwa mara nyingine ikiwezekana tujirekebishe tuendelee na maisha.

Katika kuchart chart najaribu kujishusha nambembeleza tu yaishe akanitumia hii sms iliyolowanisha moyo wangu kwa machozi

Nanukuu

"" "
Hata hivyo, najua unaning'ang'ania kwasababu una maisha magumu, laiti ungekuwa na maisha mazuri, tusingesumbuana hapa kila leo. Nakuombea Mungu akupe maisha mazuri ili tuache kusumbuana, "

Nimehisi kama moyo unapasuka kwa sms hii, kiukweli sina maisha magumu kama nilivyoambiwa angalau naweza kula vizuri kuvaa mimi na mwanangu na mambo mengine mengi ila nishaambiwa maisha magumu ndo yanapelekea nimsumbue kutaka kuelewana.

Naombeni mnifariji mana moyo unabubujika machozi

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana mamy Mwenyezi Mungu akasimame kwenye ndoa na maisha ya familia yako ,Mwombe Mungu amrudishe mume aliyekupa ..funga sali sana ...Mwombe Mungu akupe uvumilivu
 
Jioni hii haijakaa vizuri kwangu

Tumekuwa na mgogoro mwaka sasa ndani ya ndoa uliopelekea kutengana japo si kisheria

Si mgogoro mzito kwa watu wenye kuijua thamani ya ndoa mana ni miss understanding za kawaida hasa kwa sababu tumetofautiana kimitazamo kimalezi na hata mazingira tuliyokulia.

Nimekaa kimya mda mrefu sijamtafuta mwenzangu mana alisema niachane naye nisimrafute leo nikamkumbuka sana nikampigia akupokea, nikamtext kumplease tuongee tofauti zetu kwa mara nyingine ikiwezekana tujirekebishe tuendelee na maisha.

Katika kuchart chart najaribu kujishusha nambembeleza tu yaishe akanitumia hii sms iliyolowanisha moyo wangu kwa machozi

Nanukuu

"" "
Hata hivyo, najua unaning'ang'ania kwasababu una maisha magumu, laiti ungekuwa na maisha mazuri, tusingesumbuana hapa kila leo. Nakuombea Mungu akupe maisha mazuri ili tuache kusumbuana, "

Nimehisi kama moyo unapasuka kwa sms hii, kiukweli sina maisha magumu kama nilivyoambiwa angalau naweza kula vizuri kuvaa mimi na mwanangu na mambo mengine mengi ila nishaambiwa maisha magumu ndo yanapelekea nimsumbue kutaka kuelewana.

Naombeni mnifariji mana moyo unabubujika machozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yatakwisha, hakuna yasio na mwisho. Yatakua furaha
 
Pole sana mpendwa hilo jaribu ulilonalo inabidi kumuomba Mungu sana akuvushe.
 
Mamaa Africa HEBU KUBALI HIYO NDOA IMEISHA mpenzi!
sisemi ni rahisi lakini INASTAHILI !
kubali na usonge mbele!
UNAKAA KULILIA KISICHOSTAHILI MACHOZI YAKO MPKA LINI?
lili penzi linalokuthamini!
unalilia mtu anakuona ni mzigo upo tu,
we huoni kama sio jambo kubwa , mwenzio nndo kaliona kubwa sasa na kaamua kuendelea na hamsini zake!

HEBU GIVE YOURSELF A BREAK!
IT HURTS NAJUA! NAJUA SANA!
ila sikudanganyi kuwa pia najua ILIVYO RAHA KULET GO OF THINGS!
LET IT GO NA UANZE KUISHI MAISHA MENGINE KAMA HUKUWAHI KUOLEWA!

MWANAO USIMUONE KOVU! WALA BABA YAKE HUNA HAJA YA KUMCHUKIA!

ILA UNA HAJA YA KUJIPENDA WEWE KWANZA!
KUWA MBINAFSI NA HISIA ZAKO!
huwezi kumpenda mwanadamu mwenzio kuliko unavyojipenda mwenyewe!
HATA YESU AMRI KUU YAKE YA MAPENDO, ALISEMA MPENDE JIRANI YAKO KAMA UNAVYOJIPENDA!,\
KAAAMA , SIO ZAIDI!
how COMES UNAMPENDA MTU ZAIDI YA UNAVYOJIPENDA WEWE, HII INAKUMALIZA UJUE!
utakuja kushtuka ikiwa imeshakuwa totally damaged!.
 
Pole sana my dear!.
Kuna muda inatakiwa moyo na akili ikubaliane na matokeo!
Yawezekana alikuwa anatafuta sababu tuu ya kuachana!
Furaha yako ni mwanao, hebu jaribu kumtoa huyo mwanaume kwenye akili yako kwa sasa! Wakati unaumia yeye anasonga na maisha yake!

Ishi ukijua hakuwa wako! Pole sana kipenzi Yesu akufanyie wepesi
 
Lazima Tujifunze Kwamba Huwezi Kumumiliki Mtu,,, Ruhusu Moyo Wako Uelewe Kuwa Huyo Si Wako,, Mazoea Yana Tabu Zake, Ila Jitahidi Utayasahau, ! MENGI YAMEPITA, HILI NALO LITAPITA, MTUMAINIE MUUMBA,
 
Mapenzi siku izi yamekuwa kama Umeme wa tanesco mda wowote hukatika, yatupasa kuwa tiyari na Genereta, na babu yangu aliwahi niambia hakuna mtihani mgumu duniani kama ndoa ndomana walimwengu hupewa kwanza vyeti na kisha mitihani inafuata. Pole sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom