Moyo Mashine ni bora kuliko Aje ya Alikiba

Moyo Mashine ni bora kuliko Aje ya Alikiba

Mashabiki wengi wa bongo linapokuja suala la kupiga kura wanaangalia ushabiki na kuuacha ukweli, nikisikiliza lyrics za Moyo mashine wa Ben Poh nikilinganisha na lyrics za Aje wa Alikiba napata ukakasi kwanini Ben Poh hakushinda hiyo tuzo. Nafikiri kuna umuhimu kuwashirikisha wataalam wa muziki nao wachangie katika utoaji wa hizi tuzo maana kura pekee za mashabiki naona hazitoshi.Huo ndo mtazamo wangu,sina chuki binafsi na Kiba najaribu tu kuwa fair
Tuzo za music haziko hivyo,timu ya wanaojua mziki hushirikishwa kwenye kupanga nominees kwenye kila category!Hapa huchambua na kuchukua nyimbo bora 4/5 au zaidi!Ikifikia hapo basi yoyote kati yao anakuwa na sifa za kuchukua tuzo!Hapo ndio linapoingia zoezi la kura!Ni utaratibu mzuri!Malalamiko hutokea kutokana na upenzi na mwanamuziki unayemkubali kutopata kura nyingi za kumfanya mshindi!Hata kama angeshinda huyo Ben pol,bado kuna watu wangesema kiba alistahili!Hiyo ndio maana wenzetu akishinda tuzo basi hukumbuka kusema kila aliyekuwa kwenye category yake alistahili hiyo tuzo!
Malalamiko hayako bongo pekee,kama unakumbuka kuna tuzo alishinda Taylor swift ya video bora,Kanye West alishindwa kuvumilia ikabidi apande jukwaani na kumpokonya Swift kipaza sauti na kusema Beyonce alistahili tuzo hiyo na video yake ndio ilikuwa bora zaidi!
Beyonce mwenyewe alibaki ameduwaa,Kanye mzuka ulipoisha aliomba radhi na ikabidi asafiri miezi kwa miezi 6!
So malalamiko yapo tu na utaratibu wa kura bado ni bora!
Ngoja nikuwekee video hiyo ya kanye!
 
Hata aje kuwa video bora nna mashaka.

Yote kwa yote , inaonekana bado EATV hawaja jifunza, kutokana na makosa ya nyuma. Eti lady jay dee kuwa msanii bora wa kike!!!

Tatizo hizi tuzo zilitolewa kama kuwakomoa watu fulan hivi. Haijengi hii
Ben pol na Alikiba walikutana kwenye vipengele viwili tu.
-Video bora na msanii bora wa kiume
*Ben pol angepata video bora halafu Alikiba angepata tunzo ya mwanamuziki bora wa kiume.
-*imeniuma sana Ben pol kutopata tunzo.
**binafsi moyo mashine ndio nyimbo yangu bora mwaka 2016.
 
Tumekuja wenyewe... hivi mtoa mada umekula maharage ya wapi au ni mihemko tu... ubora wake ni ile piano inayoungua au? mnapomchukia kiba mnakosea wachukieni mashabiki zake wanaomuweka juu
 
Hata aje kuwa video bora nna mashaka.

Yote kwa yote , inaonekana bado EATV hawaja jifunza, kutokana na makosa ya nyuma. Eti lady jay dee kuwa msanii bora wa kike!!!

Tatizo hizi tuzo zilitolewa kama kuwakomoa watu fulan hivi. Haijengi hii
Kumkomoa Nani?
 
We are always there for complains...wakoshinda wameshinda sifa ziende kwao walioogopa pole yao life goes on KURA ZUSHAAMUA.
 
iliniuma sana jana ben pol kukosa tuzo,moyo mashine ni moja kati ya mistari mitamu ya mapenzi kupata kutokea duniani
Ndo kashakosa sasa..moto wa kiba hatar mzee weka mbali na watoto mtandale kakimbia haja taka kushiriki kabisa.
 
Ben pol na Alikiba walikutana kwenye vipengele viwili tu.
-Video bora na msanii bora wa kiume
*Ben pol angepata video bora halafu Alikiba angepata tunzo ya mwanamuziki bora wa kiume.
-*imeniuma sana Ben pol kutopata tunzo.
**binafsi moyo mashine ndio nyimbo yangu bora mwaka 2016.
Pole KANDAMOYO.
 
alikiba alistahili ile tuzo ,video ni kali ndio maana akashinda kwa kishindo poleni sana team ujanja ujanja naona Leo mmekuja na bandiko la kumtetea Ben
 
Hata timu bushman watukane VP...but allykiba hakustahili yeye na jide
 
Mashabiki wengi wa bongo linapokuja suala la kupiga kura wanaangalia ushabiki na kuuacha ukweli, nikisikiliza lyrics za Moyo mashine wa Ben Poh nikilinganisha na lyrics za Aje wa Alikiba napata ukakasi kwanini Ben Poh hakushinda hiyo tuzo. Nafikiri kuna umuhimu kuwashirikisha wataalam wa muziki nao wachangie katika utoaji wa hizi tuzo maana kura pekee za mashabiki naona hazitoshi.Huo ndo mtazamo wangu,sina chuki binafsi na Kiba najaribu tu kuwa fair
Unaongea nn hadi serikari ya south africa wanaikubali hiyo ngoma ww unasema nn
 

Attachments

  • 1481528971697.png
    1481528971697.png
    109.9 KB · Views: 53
tukifuata suala la lyrics kuna watu hawatopata tuzo kamwe japo wana mziki mzuri na wanapendwa
 
Mimi kwa upande wangu naona hizo nyimbo zote ni kiwango, so yeyote ambaye angeshinda ni sahihi. Ila kwa upande wa video wamekosea sana , haikustahili ukilinganisha na video za washindani wake mfano Don't bother ya Joh
 
Back
Top Bottom