Mr.Wenger
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 2,572
- 6,211
Mashabiki wengi wa bongo linapokuja suala la kupiga kura wanaangalia ushabiki na kuuacha ukweli, nikisikiliza lyrics za Moyo mashine wa Ben Poh nikilinganisha na lyrics za Aje wa Alikiba napata ukakasi kwanini Ben Poh hakushinda hiyo tuzo.
Nafikiri kuna umuhimu kuwashirikisha wataalam wa muziki nao wachangie katika utoaji wa hizi tuzo maana kura pekee za mashabiki naona hazitoshi.
Huo ndo mtazamo wangu, sina chuki binafsi na Kiba najaribu tu kuwa fair