Moyes sio kocha sahihi wa manchester

Moyes sio kocha sahihi wa manchester

Umesema kweli: Sasa nataka nimsaidie ndugu Belo kuhusu rekodi ya mafanikio ya Madrid na utamaduni wao wa kufukuza makocha. Alisema kwamba Madrid wameanza kufukuza makocha mwaka 2002. Ngoja nitoe takwimu kwa faida yake na ya wengine wanaopenda kujua, maana hii ni JF Home of Great thinkers:

Makocha wa Real De Madrid CF tangu mwaka 1992:
1. Radomir Antic =91-92.
2. Leo Beenhakker = 92(miezi michache)
3. Benito Floro = 92-94.
4. V. Del Bosque =94(miezi michache)
5. Jorge Valdano = 94-96.
6. V. Del Bosque = 96(miezi michache)
7. Arsenio Iglesias = 96(miezi michache)
8. Fabio Capello = 96-97.
9. Jupp Heynckes =97-98(aliwapa ubingwa wa UCL na akatimuliwa)
10. Jose A. Camacho =98
11. Guus Hiddink =98-99.
12. John Toshack =99.
13. V.Del Bosque = 99-2003.(aliwapa UCL, super cup, na la liga) alitimuliwa baada yakutolewa kwenye nusu fainali za UCL, walifungwa na Juventus, enzi hizo Michael Owen alikuwa Real Madrid.
14. Carlos Queroz(msaidizi wa SAF) = 2003-2004.
15. J.A. Camacho = 2004.
16. Mariano Remon = 2004.
17. Luxemburgo = 2004.
18. Juan Lopez Caro = 2005-2006.
19. Fabio Capello = 2006-2007(aliwapa ubingwa wa la liga, akatimuliwa,D.Beckham alikwa Real Madrid enzi hizo.)
20. Bernd Schuster = 2007-2008.
21. J. Ramos = 2008-2009.
22. Manuel Pelegrin 2009-2010.
23. Jose Mourinho = 2010-2013[kawapa Copa de Rey, ubingwa wa La Liga, nusu fainali 3 za UCL, hata hivyo katimuliwa.)
24. Carlo Ancelotti.
Jurgen Klopp,diego simeone wa a.m,hao wote ni makocha sahihi wa kuifundisha man u,na kama hao hawakufai au utaona ni makocha wa muda mfupi na kama unahitaji ambae ana experience na mpira wa uingereza basi kwangu mimi hata harry redknap ni kocha mzuri wa kuifundisha man u napenda sera zake,aina ya mpira wake na msimamo aliokuwa nao, spurs ingawaje alikuja kufukuzwa na hata qpr kushuka daraja i blv ni kocha mzuri(huyu nimeamua kumtolea maelezo coz usije ukaleta critism kwamba mbona qpr imeshuka daraja.?) kumbuka aliipeleka spurs uefa na inter alikula magoli 6-5 na kumbuka aina ya mpira ambao spurs ilicheza
 
Kiwango cha ushindi(%) kwa baadhi ya makocha Real De Madrid:
1. Manuel Pellegrin = 75%
2. Vicente Del Bosque =54%
3. Jose Mourinho = 71%
4. Carlo Ancelotti = 76%.
Tangu mwaka 1992 Real de Madrid wameingia nusu fainali za UCL mara 5. mara 3 wakiwa chini ya Jose Mourinho. Pia wamefanikiwa kuchukua ubingwa wa klabu bingwa ya dunia mara 2. Super Cup 1, na La Liga kibao tu.Kibiashara ndo usiseme jamaa wanapaa tu.
Nimekuelewesha but naona hutaki kunielewa,Man United hawana utamaduni wa kufukuza makocha kama Real Madrid au ManCity pamoja na kufukuza makocha hakuna mafanikio waliyopata ukilinganisha na investment ya wachezaji waliofanya.Kama unataka hivyo sahau kabisa Man United huwa inataka makocha wa muda mrefu ndio maana makocha kama Morinyo hawakufuatwa kabisa.Umesema Moyes hafai nani aje amrithi umeshindwa kusema,i know huwezi kusema but kumrithi SAF kwa wachezaji waliopo kocha yeyote angepata taabu
Kitu cha msingi unatakiwa ujue matatizo ya Man United technical,then linganisha wachezaji waliopo na hizo timu unazozilinganisha(Bayern,Chelsea,Madrid)
 
Kiwango cha ushindi(%) kwa baadhi ya makocha Real De Madrid:
1. Manuel Pellegrin = 75%
2. Vicente Del Bosque =54%
3. Jose Mourinho = 71%
4. Carlo Ancelotti = 76%.
Tangu mwaka 1992 Real de Madrid wameingia nusu fainali za UCL mara 5. mara 3 wakiwa chini ya Jose Mourinho. Pia wamefanikiwa kuchukua ubingwa wa klabu bingwa ya dunia mara 2. Super Cup 1, na La Liga kibao tu.Kibiashara ndo usiseme jamaa wanapaa tu.
kama sijamuelewa vibaya ukiacha mambo menginne hataki kuamini timu isipoingia uefa msimu mmoja tu thamani yake ya hisa inashuka,ngoja nimkusanyie data jinsi thamani ya liverpool ilivyoshuka kwa kutoingia uefa then nitarudi
 
Mimi nataka tupafanye JF mahali pa kutumia akili kufikiri. Sio kutoa mapovu tu. Mimi ni Chelsea damu lakini nakoment thread zote bila mapovu..tuelimishane tu hapa.
 
lete data kaka; huwezi kuwa na kocha ambaye asilimia yake ya ushindi iko chini halafu useme apewe muda..timu itapotea kama ilivyopotea Nottingham Forest.
kama sijamuelewa vibaya ukiacha mambo menginne hataki kuamini timu isipoingia uefa msimu mmoja tu thamani yake ya hisa inashuka,ngoja nimkusanyie data jinsi thamani ya liverpool ilivyoshuka kwa kutoingia uefa then nitarudi
 
Hili lilikuwa ni lazima litokee kulingana na mfumo halisi uliopo na uliokuwepo.
 
Safari hii hawana raha na mpira wakisikia Man U inacheza haooo!! Nasikia siku hizi wanapenda mechi za Arsenal kwenda kuombea mambaya. Wakiona kama vile tunaelekea kushindwa utasikia kelele goaaal. Mara Arsenal ikianza vitu vyake utaona kimyaaa wanaondoka mmoja mmoja kama wachawi
kwa hapo tuko pamoja sana, wanaongea sana hawa jamaa.........
[/B][/COLOR][/SIZE]
 
Timu angepewa pep ile. Sema babu anawivu sana, anajua yakija majembe yatavunja record yake then mchango wake kwa man u utaonekana ni jambo la kawaida.
Pep ilikuwa aje baada ya kutoka Uefalona kama Assistant Mngr cum Successor wa SAF akachomoa akenda NY kufanya 'sabbatical leave'
 
Huwezi kumpa kazi PEP kama Assistant wa SAF akubali, ngumu sana..makocha wa kiwango chake huwezi kuwapa ofa za kitoto wakakubali. Nakubaliana na hoja ya Bologna kwamba SAF ana wivu..hataki rekodi zake zifunikwe mapema. Angeweza hata kumpendekeza kapteni wa zamani wa Man Utd, Steve Bruce(jamaa anajua kuliko Moyes)
Pep ilikuwa aje baada ya kutoka Uefalona kama Assistant Mngr cum Successor wa SAF akachomoa akenda NY kufanya 'sabbatical leave'
 
SAF mtu wa ajabu sana, kwenye kitabu chake amemsema vibaya sana Roy Keane, wakati huyu jamaa alikuwa kapteni mzuri, hiyo inaonyesha jamaa mtu mwenye roho ya 'umimi' hataki wengine wamfunike.
 
Huwezi kumpa kazi PEP kama Assistant wa SAF akubali, ngumu sana..makocha wa kiwango chake huwezi kuwapa ofa za kitoto wakakubali. Nakubaliana na hoja ya Bologna kwamba SAF ana wivu..hataki rekodi zake zifunikwe mapema. Angeweza hata kumpendekeza kapteni wa zamani wa Man Utd, Steve Bruce(jamaa anajua kuliko Moyes)

Alikuwa anamuandaa kuwa meneja wa timu. By the way kuwa assistant wa SAF sio kitu kidog.

Carlos Quieroz alikuwa Assistant wa SAF then akaenda kuwa meneja wa Real Madrid na baadaye kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ureno.

McClaren alikuwa assistant wa SAF baadaye akawa kocha wa Boro, timu ya taifa ya Uingereza, Wolfsburg na Twente

Renee Maulesteen ameenda kuwa kocha wa Fulham.

Ila kwa mtazamo wangu naona ni vizuri Pep hakuja, vyombo vya habari vya uingereza vingemshambulia sana kwa matokeo yoyote mabaya kwa kuwa yeye ni Iberian. Ni vizuri muingereza(David Moyes) alipewa timu.

Naungana na Belo na wengineo waliosema kwamba huu ni muda wa mpito matokeo mazuri yanakuja. Mashabiki wa matokeo wanaweza kuhama timu ya kushabikia mpaka hapo matokeo yatakapokuwa mazuri. Mashabiki wa mpira huwa hatuhami timu kiholela holela. We stick with the time during hard times
 
Last edited by a moderator:
Jurgen Klopp,diego simeone wa a.m,hao wote ni makocha sahihi wa kuifundisha man u,na kama hao hawakufai au utaona ni makocha wa muda mfupi na kama unahitaji ambae ana experience na mpira wa uingereza basi kwangu mimi hata harry redknap ni kocha mzuri wa kuifundisha man u napenda sera zake,aina ya mpira wake na msimamo aliokuwa nao, spurs ingawaje alikuja kufukuzwa na hata qpr kushuka daraja i blv ni kocha mzuri(huyu nimeamua kumtolea maelezo coz usije ukaleta critism kwamba mbona qpr imeshuka daraja.?) kumbuka aliipeleka spurs uefa na inter alikula magoli 6-5 na kumbuka aina ya mpira ambao spurs ilicheza

Nakubaliana nawe kuhusu uwezo wa Klopp na Simeone,kuna rumours tayari Klopp atakuwa next coach wa timu ya Taifa ya Germany ndio maana aligoma hata kwenda Madrid
Harry Redknap ni mzee very soon atastaafu ndio maana alikuwa anataka kufundisha timu ya taifa.
Kwa wachezaji waliopo hata Simeone au Klopp wangepata taabu
 
SAF mtu wa ajabu sana, kwenye kitabu chake amemsema vibaya sana Roy Keane, wakati huyu jamaa alikuwa kapteni mzuri, hiyo inaonyesha jamaa mtu mwenye roho ya 'umimi' hataki wengine wamfunike.

Vitu vingine ni too personal hata wewe kuna watu unawapenda but mimi siwezi kuwapenda so hivyo ni vitu vya kawaida,Jose Morinyo pale Madrid aligombana na Valdano,Zidane,Ramos,Casilas,Pepe .Roy Keane alikuwa mkorofi hilo hajasingiziwa, alikuwa mchezaji mzuri na kiongozi mhamasishaji kwenye timu but kuna mambo aliyoyafanya ni utovu wa nidhamu. Fergie anaonekana mbaya kwa sababu ya kuongea ukweli
 
Vipi David Beckham hadi akampiga na kiatu usoni? Babu pia ana mapungufu yake..hata ukisoma kitabu chake utagundua ni mtu ambaye havumilii ushindani. Anapenda kuwa mtawala peke yake. Hata kwenye kitabu chake "kamchana sana Wenger pia" lakini ndo SAF alivyo.
Vitu vingine ni too personal hata wewe kuna watu unawapenda but mimi siwezi kuwapenda so hivyo ni vitu vya kawaida,Jose Morinyo pale Madrid aligombana na Valdano,Zidane,Ramos,Casilas,Pepe .Roy Keane alikuwa mkorofi hilo hajasingiziwa, alikuwa mchezaji mzuri na kiongozi mhamasishaji kwenye timu but kuna mambo aliyoyafanya ni utovu wa nidhamu. Fergie anaonekana mbaya kwa sababu ya kuongea ukweli
 
Kiwango cha ushindi(%) kwa baadhi ya makocha Real De Madrid:
1. Manuel Pellegrin = 75%
2. Vicente Del Bosque =54%
3. Jose Mourinho = 71%
4. Carlo Ancelotti = 76%.
Tangu mwaka 1992 Real de Madrid wameingia nusu fainali za UCL mara 5. mara 3 wakiwa chini ya Jose Mourinho. Pia wamefanikiwa kuchukua ubingwa wa klabu bingwa ya dunia mara 2. Super Cup 1, na La Liga kibao tu.Kibiashara ndo usiseme jamaa wanapaa tu.

Naona unataka kubadilisha kabisa mada inayojadiliwa hapa,hizo statistics za makocha wa Madrid sio mada.Mwanzo umesema kwamba sababu ya Madrid kuchukua makombe mengi ya UCL ni kufukuza makocha nikakwambia sababu ya Madrid kuchukua ubingwa mara nyingi walichukua ubingwa mara 5 mfululizo kombe lilivyoanzishwa(1955-1960) wakati ambao hata timu zinazoshiriki kwenye mashindano zilikuwa chache.Del Bosque ndio kocha wa mwisho kuwapa mafanikio (2 UCL+la liga) baada ya kumfukuza yeye karibia kila msimu wanqbadilisha makocha but hakuna mafanikio ya maana waliyopata ukilinganisha na investment ya wachezaji waliofanya.
Lets go back to the topic,Why Moyes is wrong coach for Man United
 
Nakubaliana nawe kuhusu uwezo wa Klopp na Simeone,kuna rumours tayari Klopp atakuwa next coach wa timu ya Taifa ya Germany ndio maana aligoma hata kwenda Madrid
Harry Redknap ni mzee very soon atastaafu ndio maana alikuwa anataka kufundisha timu ya taifa.
Kwa wachezaji waliopo hata Simeone au Klopp wangepata taabu

Kwa maelezo haya naona tunaanza sail on the same boat kwamba moyes anauwezo mdogo sana kuliko mahitaji ya timu.
Na hii hiko wazi ukiangalia records zake za nyuma na mafanikio aliyowai kuyapata kwenye career yake ya umanager.
Just for the record tuache unafiki hakuna shabiki anaefurahia timu yake inapokua na matokeo mabaya kunyamazia mabaya haimaanishi we ndio shabiki damu wa Manchester..ushabiki wa mpira ni swala linalogusa feelings za mtu so uvumilivu unatofautiana.
Watu wanapaza sauti hapa ni kwa sababu ya mapenzi waliyonayo na timu kwahiyo wale wanaotuona si sio mashabiki wa dhati kwa kusema moyes hafai wao ndio sio washabiki wa kweli maana wanafumbia macho timu inapobolonga.
 
Vipi David Beckham hadi akampiga na kiatu usoni? Babu pia ana mapungufu yake..hata ukisoma kitabu chake utagundua ni mtu ambaye havumilii ushindani. Anapenda kuwa mtawala peke yake. Hata kwenye kitabu chake "kamchana sana Wenger pia" lakini ndo SAF alivyo.
Hata wewe as human being huwezi kuelewana na kila mtu,nimekupa mfano wa Morinyo hutaki hata kumzungumzia nae haelewani na Wenger,Benitez,Guardiola na wachezaji wengi.Kwenye football kocha ili ufanikiwe lazima uwe na power dhidi ya wachezaji wako na lazima uwe na msimamo kwa maslahi ya klabu.Why the same Ferguson hajawaponda kina Scholes,Cantona,Ronaldo,Vidic,Nevilles.Unajua kuwa Zlatan alitaka kumpiga Pep na Pep akaamua kumuondoa kabisa Barca.Mambo ya discipline ndio yamesababisha AVB na Scolari kutimuliwa Chelsea na Mancini kutimuliwa ManCity
 
Nakubaliana nawe kuhusu uwezo wa Klopp na Simeone,kuna rumours tayari Klopp atakuwa next coach wa timu ya Taifa ya Germany ndio maana aligoma hata kwenda Madrid
Harry Redknap ni mzee very soon atastaafu ndio maana alikuwa anataka kufundisha timu ya taifa.
Kwa wachezaji waliopo hata Simeone au Klopp wangepata taabu
to be honest kweli watapata tabu ila as long as ninavyowajua watasajili,nimemuona klopp sub anazofanya na nimemuona simeone sub anazofanya na kikosi anchopanaga nimeridhika navyo thats y naamini katika wao na pili ninaamini watasajili,kwa aina ya mpira wanaoutaka watasjili wachezaji wenye uwezo wa kupiga pasi fupifupi za haraka kitu ambacho kinahitaji wachezaji wacheze mara kwa mara wazoeane ktu ambacho moyes hajakifanya alikuwa anafanya rotation ya wachezaji wa manu amba[o team chemistry ikapotea kabisa ,kuhusu redknapaa nakubaliana na ww no argument hapo,na kama klopp anakuwa kocha wa germany basi man u pale kuna timu ya scout makocha wapo wengi duniani sio lazima tuchukue wa ulaya au tunaowajua sisi,anani alikuwa anamjua martino wa barca kabla hajatua barca so scout inaweza kufanya kazi yake kama hakutakuwa na interest za mtu binfsi kwenye kuteua kocha as long as best available ndio anaehitajika coz ukiachilia mbali sababu nyingine naamini moyes ameteuliwa coz ni mscotish mwenzake ferguson
 
Back
Top Bottom