Moyes sio kocha sahihi wa manchester

Moyes sio kocha sahihi wa manchester

Hahaaaaaa umechoka kwenda kuangalia mechi na panadol mfukoni..teeeh teeeh
 
Fegurson hataki record zake zivunje ndo maana alimteua mooyes.
 
ha ha ha ha ha haaaaaaaa ferg kasema anawaletea kibadeni na julio mwezi wa pili.......man u hoyeeeeeeeeee......sema man wakifungwa huwa nasika raha utamu,utamu rahaaaaaa..


kwa hapo tuko pamoja sana, wanaongea sana hawa jamaa.........
 
Moyes ni kocha anayefaa kufundisha timu za Liverpool na zinginezo kwenye Premier League ila si Man Utd.
 
Wapenzi wa Man Utd mlizowea vya kunyonga. Kumbukeni Fergie alipompendekeza Moyes kuwa meneja wa timu hakuwa anaangalia leo bali kesho,keshokutwa, mtondogoo na kuendelea. Kama wangemtaka mtu wa kuendesha timu kwa leo wangewachukuwa kina Mourinho, Anceloti nk. Ilitegemewa kuwa vigumu kuziba pengo lililoachwa na Fergie kimafanikio hasa kwa muda mfupi, mpeni misimu miwili au mitatu ndo mje kumjaji alichofanya. Kwa wapenzi wa Arsenal mliokuwa mnabwabwaja Wenger atimuliwe miezi michache iliyopita mjifunze kutoka Manchester Utd. Wenger asiposaini mkataba ulio mezani haya yatatokea. Anyway Ki-banter zaidi kwa sisi tunaoichukia Manchester Utd tunaomba ya ugonjwa uendelee Moyes anafanya kazi nzuri mpaka sasa. Siku hizi marefa wanapeta diving antics za kina Young, Nani nk. hata penati mnazostahili kupewa zinapetwa. All decisions that were going on your sides (unrelatedly) in all those past Fergie years are evening up right now and long may continue LOL.
 
Weka para bana...Inachosha...Sijasoma...

mkuu jitahidi tu uisome nimejitahidi sana kuweka paragraph lakini hazitokei nikisubmit na hata nikiedit na kusave bado hazitokei nashindwa kuelewa tatizo nini,nivumilie kwa hilo tafadhali.
 
hahaha poleni wapenzi wa man utd lakini jamani u cant be serious the writing was on the wall. yaani ilijulikana kabisa kuwa his appointment ilienda "kiswahili" zaidi. there were two foundamental flaws;

1) man united ni ya ubingwa...sasa kwa nini unaenda kumchukuwa manager ambaye hajawai kushinda kombe? likewise wakati wao manchester wanamuajiri ferguson the real reason ya oppointment yake ilikuwa kuja kuvunja utawala wa liverpool. wakati huo ferguson alikuwa aberdeen na alifanikiwa kuvunja utawala wa rangers na celtic. therefore the oppoint of ferguson at manchester made sense because in him they found a man that had already done what they wanted to achieve.

sawa moyes alionyesha promise kutokana na limited budget but the fact he never won a trophy meant he was not the right candidate to continue the winning mentality. bora ata wangemchukuwa roberto martinez...limited budget but he won the fa cup against man city. so he already knows wat it itakes to win!!

2) whereever mtu anayeondoka anatoa recommendation as to who should take his place, then its advised that that person should not in anyway have any role to play in that club. ( ferguson is the director of football if am not mistaken)
it is very easy for players to run to him when things go wrong. this in a a way undermines the authority of the incumbent.

yaani mkuu umeongea kweli tupu,umemaliza kila kitu jana pia nimesikia kuna tetesi kwamba kuna mdhamini kajitoa ila sijaithibitisha nado ila kama kweli timu inaelekea kubaya,kitu amabcho kinanishangaza sana inakuwaje wampe moyes mkataba wa miaka 6,mbona ni mwingi sana tofauti na hali halisi ya makocha wa kileo,?? Ila pia ferguson nae anapswa kulaumiwa kama mzazi naamini kuna kitu alikiona kuotoka kwa moyes ndo maana akamteua so bad hakijafanya kazi.
 
Wapenzi wa Man Utd mlizowea vya kunyonga. Kumbukeni Fergie alipompendekeza Moyes kuwa meneja wa timu hakuwa anaangalia leo bali kesho,keshokutwa, mtondogoo na kuendelea. Kama wangemtaka mtu wa kuendesha timu kwa leo wangewachukuwa kina Mourinho, Anceloti nk. Ilitegemewa kuwa vigumu kuziba pengo lililoachwa na Fergie kimafanikio hasa kwa muda mfupi, mpeni misimu miwili au mitatu ndo mje kumjaji alichofanya. Kwa wapenzi wa Arsenal mliokuwa mnabwabwaja Wenger atimuliwe miezi michache iliyopita mjifunze kutoka Manchester Utd. Wenger asiposaini mkataba ulio mezani haya yatatokea. Anyway Ki-banter zaidi kwa sisi tunaoichukia Manchester Utd tunaomba ya ugonjwa uendelee Moyes anafanya kazi nzuri mpaka sasa. Siku hizi marefa wanapeta diving antics za kina Young, Nani nk. hata penati mnazostahili kupewa zinapetwa. All decisions that were going on your sides (unrelatedly) in all those past Fergie years are evening up right now and long may continue LOL.

sasa we unasema tumpe miaka mitatu hujui kama nyota njema naonekana asubuhi???,kosa kubwa alilolifanya ambalo halideserve yy kuendelea kuvumiliwa ni kushindwa kusajili,as a manager una mfumo wako ambao inabidi uchezwe na wachezaji fulani sasa hao wachezaji man u hawapo na pia umeshindwa kuwasajili unategemea nini,dirisha kubwa la usajili alishindwa kusajili dirisha dogo pia anashindwa kusajili,eti anasema the right players anaowataka hawapatikani january,sasa walivyokuwa wanapatikana dirisha kubwa aliwasajili?? Yaani kwa kifupi hajielewi kingine eti alitimua benchi nzima la ufundi la ferguson ,badala hata aangeacha kajirithi kake lakini hakufanya hivyo sasa hata sijui alikuwa anategemea nini??,as long as nataka afukuzwe asap mwache aendelee kuboronga im sure mwakani uefa man u haiingii na hiyo ndo itakuwa sababu kuu ya yeye kutimuliwa.
 
kwa hapo tuko pamoja sana, wanaongea sana hawa jamaa.........
[/B][/COLOR][/SIZE]

sawa nyie chongeni tu,leo kwako kesho kwangu.,yaani i wish ningekuwa na email ya moyes nimtumie booonge la msg ila nahisi email yake itakuwa ni davidmoyes@manutd.com,ngoja nimtumie bonge la msg la kumtukana.
 
KAMA ARSENE WENGER AMEWEZA KUKAA PALE
EMIRATES MIAKA 9 BILA KUCHUKUA KIKOMBE
HATA CHA KAHAWA NA MASHABIKI MISUKULE
WA ARSE8 NDANI YA MIAKA HIYO YOTE 9
WAMEVUMILIA NA MIAKA YOTE HIYOO WAMEKUA
WAKIJIGAMBA WANA TIMU BORA WKT MWISHO
WA MSIMU WANAAMBULIA PATUPU
NASHANGAZWA NA BAADHI YA MASHABIKI WA
MAN UTD WANAOMPONDA MOYES AMBAE NDIO
KWANZA MSIMU WAKE WA KWANZA OLD
TRAFFORD,NAJUA MNAWEZA KUSEMA KUA ARSE8
NI TIMU NDOGO KULINGANISHA NA MAN UTD
LKN MBONA MISUKULE YA ARSE8 IMEWEZA
KUVUMILIA NA MPK SASA HV BADO INAENDELEA
KUVUMILIA WKT HAINA KIKOMBE
CHOCHOTE,ACHENI ZENU BANA MWACHENI
MOYES AJENGE TIMU YAKE THEN BAADA YA
MISIMU 3 IKIWA MAMBO HAYAJAENDA SAWA
HAPO NDIO TUNAWEZA KUONGEA MINGINE,BT
FOR NW MUACHENI MOYES AJENGE TIMU YAKE.

send near Oxford, United Kingdom

timu imetoka kuchukua ubingwa mwaka jana unafikiri inadeserve kuwa nafasi ya 7 mwaka huu??? Hilo mosi,pili arsenal walikuwa hawachukui kombe ila mpira wao unaridhisha sisi yote hayo hatufanyi timu mbovu,kocha mbovu,mpira tunacheza mbovu,matokeo tunapata mabovu what do u expect,save united sack moyes,hiyo ndo soln pekee
 
waswahili wanasema siku zote wa mbili havai moja. ulitegemea nini kwa kocha ambaye hana track record ya kubeba hata kombe la mbuzi kufanya kile ambacho hajawahi kukifanya.

hii timu bora iendelee kuboronga na mapato yapungue hawa washenzi wamerikani washindwe kulipa madeni yao. wapuuzi kabisa akina glaziers.

moyez alifanya kosa kubwa kufukuza benchi lote la ufundi la SAF wakati hajui mila, miiko, desturi, ya Timu anayokwenda kufundisha na mbaya zaidi timu iliyofundishwa na mtu mmoja zaidi ya miaka 26.

Vibonde wote wanarekebisha records zao mbaya mbaya utasikia mara ya mwisho kushinda ni miaka 25, 30, 50 iliyopita.

na hapa sijui kwa nini wameliruhusu hilo la kuvunja benchi nzima la ufundi na yy kwenda kuwateua akina giigs,neville na vifaranga vyengine,mbona barca,madrid benchi la ufundi halivumjwi lote bali analetwa kocha mpya tu,all i can say ni ---- him ameniudhi mno.
 
1380144_628292423896343_25599260_n.jpg


sio maneno yangu bali ni Nzi kasema

Cc: Nzi , Mbu , Wacha1
 
Last edited by a moderator:
Swala la mtu kusema amestaafu Manchester afu baada ya muda akarudi sio geni..alifanya hivyo Scholes tunakumbuka.
Sasa nafikiri nikipindia muafaka Sir Alex utengue maamuzi yako ebu rudi kwenye Manchester yetu...huyu mzee uliyetuchagulia tunamuheshimu lakini naona kazi uliyompa imemshinda.
Kwa kweli hii sio Manchester United tena nahisi tunakaribia kuwa Leeds United

sure mkuu tusipokuwa sserious sasa hivi manchester itakuwa timu ya kawaida alafu inavyoonekana wale wangese wa kimarekani hwana hela ya kutoa kusajili coz timu haiwezi ikawa katika majanga haya alafu kocha aseme hasajili.
 
Mimi ni mpenzi wa Man U. Nashauri Moyes atimuliwe mara moja. Hatufai kabisa.
 
mkitaka mjue moyes hamna kitu na galasa yule angalieni kauli zake zinavyokinzana

moyes at august:I'll sign 3 players
Moyes at August : I won't panic Buy
Moyes at September : bought Fellaini in panic

Moyes at October : I don't have good squad 4 CL
Moyes at November : squad need to rebuild
Moyes at December : I will buy in January
Moyes at January : I will not buy in January
 
images
images

images.jpg
endapo vichapo vitazidi sana muoneni huyu jamaa Nikodemously
 
images

huenda mmesahau fadhila ndio sababu ya vipigo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom