muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,966
- 15,004
Mhhhh msimu huu kazi tunayo Man u,hatujazoea maisha haya.
Moyes hana tofauti na Zito Kabwe.dah...jamaa ananibore kinyama..afu eti anasema hatasajili january hii....yaani we acha tu
Man U Sio timu ya Majaribio akwendege zake mmmxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiuuuu!KAMA ARSENE WENGER AMEWEZA KUKAA PALE
EMIRATES MIAKA 9 BILA KUCHUKUA KIKOMBE
HATA CHA KAHAWA NA MASHABIKI MISUKULE
WA ARSE8 NDANI YA MIAKA HIYO YOTE 9
WAMEVUMILIA NA MIAKA YOTE HIYOO WAMEKUA
WAKIJIGAMBA WANA TIMU BORA WKT MWISHO
WA MSIMU WANAAMBULIA PATUPU
NASHANGAZWA NA BAADHI YA MASHABIKI WA
MAN UTD WANAOMPONDA MOYES AMBAE NDIO
KWANZA MSIMU WAKE WA KWANZA OLD
TRAFFORD,NAJUA MNAWEZA KUSEMA KUA ARSE8
NI TIMU NDOGO KULINGANISHA NA MAN UTD
LKN MBONA MISUKULE YA ARSE8 IMEWEZA
KUVUMILIA NA MPK SASA HV BADO INAENDELEA
KUVUMILIA WKT HAINA KIKOMBE
CHOCHOTE,ACHENI ZENU BANA MWACHENI
MOYES AJENGE TIMU YAKE THEN BAADA YA
MISIMU 3 IKIWA MAMBO HAYAJAENDA SAWA
HAPO NDIO TUNAWEZA KUONGEA MINGINE,BT
FOR NW MUACHENI MOYES AJENGE TIMU YAKE.
send near Oxford, United Kingdom
Kuna aibu kubwa inakuja Man U mpaka April itashika nafasi ya 19 kwenye ligi. Inatarajia kupoteza mechi 14 na kutoa sare 3 katika mechi 17 zilizosalia.
Siku nakutana na Moyes Nampiga Gumi la Roho....
KAMA ARSENE WENGER AMEWEZA KUKAA PALE
EMIRATES MIAKA 9 BILA KUCHUKUA KIKOMBE
HATA CHA KAHAWA NA MASHABIKI MISUKULE
WA ARSE8 NDANI YA MIAKA HIYO YOTE 9
WAMEVUMILIA NA MIAKA YOTE HIYOO WAMEKUA
WAKIJIGAMBA WANA TIMU BORA WKT MWISHO
WA MSIMU WANAAMBULIA PATUPU
NASHANGAZWA NA BAADHI YA MASHABIKI WA
MAN UTD WANAOMPONDA MOYES AMBAE NDIO
KWANZA MSIMU WAKE WA KWANZA OLD
TRAFFORD,NAJUA MNAWEZA KUSEMA KUA ARSE8
NI TIMU NDOGO KULINGANISHA NA MAN UTD
LKN MBONA MISUKULE YA ARSE8 IMEWEZA
KUVUMILIA NA MPK SASA HV BADO INAENDELEA
KUVUMILIA WKT HAINA KIKOMBE
CHOCHOTE,ACHENI ZENU BANA MWACHENI
MOYES AJENGE TIMU YAKE THEN BAADA YA
MISIMU 3 IKIWA MAMBO HAYAJAENDA SAWA
HAPO NDIO TUNAWEZA KUONGEA MINGINE,BT
FOR NW MUACHENI MOYES AJENGE TIMU YAKE.
send near Oxford, United Kingdom
Swala la mtu kusema amestaafu Manchester afu baada ya muda akarudi sio geni..alifanya hivyo Scholes tunakumbuka.
Sasa nafikiri nikipindia muafaka Sir Alex utengue maamuzi yako ebu rudi kwenye Manchester yetu...huyu mzee uliyetuchagulia tunamuheshimu lakini naona kazi uliyompa imemshinda.
Kwa kweli hii sio Manchester United tena nahisi tunakaribia kuwa Leeds United