Moyes sio kocha sahihi wa manchester

Moyes sio kocha sahihi wa manchester

Watu wengi wanataka Moyes afukuzwe but kuna kocha gani ambae yuko available atakuja kumrithi?

Kwa viwango vya wachezaji wa Man United only SAF ndio anaweza kupata mafanikio na hao wachezaji hata angekuja Klopp au Mourinho asingefanya chochote na wachezaji kama Cleverley,Giggs,Anderson,Fabio,Buttner
 
you are absolutely right na mimi sijamtetea moyes hata kidogo sanasana na mpinga na tamani hata leo atimuliwe nashangaa watu wanaosema apewe umda eti hjazoea timu,madrid kocha mpya inafanya vizuri,man city kocha mpya infanya vizurii,barca kocha mppaya inafanya vizur,chelsea kocha mpya inafanya vizuri,bayern kocha mpya inafany vizuri the same to psg.watu wanaemuona moyes kwenye mtizamo tofauti na wetu kwamba sio kocha kwanggu mimi wana matatizo katika uangaliaji wao wa mpira

Unatakiwa uangalie viwango vya wachezaji wa Bayern(Dante,Lahm,Alaba,Martínez,Kroos,Thiago,Roben,Ribery),ManCity(Toure,Silva,Nasri,Agüero,Negredo,Nasri,Kompany,Zabaleta),PSG(Silva,Matuidi,Verati,Cavani,Zlatan,Moura,Mota) then linganisha na wachezaji wa Man United kina Welbeck,Young,Rio,Valencia,Cleverley,Smalling
 
Nimeshasema kuwa Moyes anaweza kuwa mbovu lakini lawama nyingi anazopewa sio zake kwa sasa,sawa SAF alikuwa na ushawishi but hutaki kuzungumzia alishindwa kusajili kiungo kwa kipindi cha miaka mingi then unategemea Moyes aweze ndani ya miezi 3

Hebu niambie Manuel Pelegrini amepata mafanikio gani alivyokuwa Vilareal,Malaga au Madrid?

Then inaonekana hujui power ya SAF hapo Man United kumbuka bila influence yake huyo David Moyes hasingekuwepo Man United

Hivi unajua SAF alikaa misimu mingapi ndio akachukua kombe? Even Arsenal kama wasingekuwa na uvumilivu na Wenger wasingekuwa hapo walipo

Kuna tofauti sana kati ya PSG,Man City na Man United hizo ni timu ambazo spending power yake ni kubwa kuliko Man United.Kabla hata Anceloti hajapewa timu Madrid walikuwa wamewasajili kina Isco,Ilaramendi.Huwezi linganisha Alonso,Isco,Bale,CR7,Khedira,Mondric,Mota,Matuidi,Verati,Zlatan,Cavani,Silva,Moura na hawa average players like Cleverley,Rio,Giggs,Anderson,Kagawa

Mdau ntaanza na hili la Pelegrin...hivi hizo dozi anazopata mtu yeyote anaetua Etihad unaziona lakini piga ua Big four Man city wapo ka si kuchukua EPL na sitashangaa wakibeba Capital One na FA maana uwezo wanao...jeje Daudi ana leta matumaini kwenye hata moja wapo ya hayo, vipi OT bado inatisha kama zamani..?? Vipi matumaini ya EPL,FA au capital one...??
Hasikudanganye mtu kwenye mpira hakuna excuse kwa kocha kama timu haiperform vizuri.
Ni wajibu wa kocha kuindaa timu physically and psychologically na kuanticipate mapungufu ya timu mapema ili kuyakabili. Kama hili limemshinda Moyes basi ye sio kocha sahihi wa Man U

Utetezi wa SAF alikaa Man U muda gani kabla hajapata matokeo ndio NAUPINGA VIBAYA SANA it is so irrelevant.
Hivi SAF alipokuja Man U hiyo Man U ya kipindi hicho ilikua inahadhi na mafanikio ka iliyonayo Man U ambayo kapewa Daudi.
Afu Mafanikio na hadhi aliyokua nayo SAF wakati anatoka Scotland ni sawa na yaliyonayo Moyes..?? Ntakua nimekosea kusema hawana hadhi inayokaribiana hivyo hawezi fanya kazi ambayo ameachiwa na mkubwa wake..
Hivi kazi ya preseason games ni nini...nafikiri kwa jibu rahisi ni kukuiona kikosi chako mapungufu na nguvu yake..Ok bench la ufundi la Man U likiongozwa na huyo Daudi Moyes liliona kwa uwezo timu iliyonao hata tukimpata fellain tu inatosha..ndio uwezo wa kocha wetu huu wa kufikiri...huyu huyu ndio tunategemea apewe muda.
There is no shame at all kusema tumechemka kwenye kocha dunia nzima inaliona hili sema watu mnasympathize sababu ni kawaida mtu kupewa second chance ila sio kila mtu deserves a second chance wengine unawest time na resources zako uwezo wao ndio huo huo
 
Kwangu mimi ni mapema kusema anafaa au la but unatakiwa uelewe matatizo ya timu kwanza.Man United imekuwa average misimu 3au 4 lakini influence ya SAF na viwango vibovu vya wapinzani (Chelsea,Arsenal,ManCity,Liverpool)
Ndio vilifunika weakness ya timu
Kwa kuwa timu inafanya vibaya obvious kocha ataonekana mbovu

ww ungekuwa kocha wa man u ungeendelea kumtumia giggs???,anderson angeendelea kuwa mchezaji wa man u??,evans,,smalling na valencia wangekuwa na uhakika wa namba??? Kama jibu lako ni hapana basi unasema moyes hafai kuwa kocha wa man u indirectly,ama ungewauza na kununua wengine??lakini najua utasema biasahra ya kununua wachezaji si sawa na kunua nyama angalia spurs wamesajili wachezaji wangapi?? Na kutumia sh ngapi???,umesikia juzi kwamba kuna pound m 200 za usajili zimetengwa?? Unafikiri hizo kazi yake nini?? Na kwanini hazikutumika kipindi cha usajili mkubwa?? Zije zitumike sasa hivi? Simple explanation ni kwamba waliona kikosi kinawafaa lakini matokeo yake yamekuwa kinyume,timu imeanza toka kuboronga kipindi cha pre season kweli hakuliona hilo?,alafu cha mwisho ili nisikuchoshe kocha yule au yyte yule anaajiriwa ili aipe timu mafanikio na kwa manchester hamna mafanikio zaid ya kuchukua ubingwa? Kwa hiyo excuses yyte ile z not be tolerated coz kocha kazi yake ni kupa timu mafanikioa tena moyes kapewa umanager sio head coach maana power yake ni kubwa zaidi,muangalie capello aliipa timu ubingwa madrid wa laliga lakini bado akatimuliwa?? Unajua kwa nini??
 
Naona hatuwezi kuelewana,my main point SAF anastahili lawama kwa linachotokea sasa but watu wengi hawalioni hilo mzigo wote unamwangukia Moyes.Nimekwambia kuwa timu ilikuwa inahitaji overhaul misimu 3/4 iliyopita.Issue za kina Giggs SAF ndio aliendelea kuwapa nafasi hii ilisababisha hadi Pogba ambae angekuja kuwa msaada mkubwa akaondoka i hope unaona anayoyafanya huko Juve

Then wewe unafikiri kufanya usajili wa wachezaji wengi ndio solution angalia Spurs wamesajili karibu wachezaji 9 ndani ya msimu mmoja still timu imezidi kuwa mbovu.Arsenal wamesajili mchezaji mmoja tu but timu imebadilika.Moyes hawezi akapewa timu leo then anunue na kuuza wachezaji 10 ndani ya msimu mmoja,it may take at least two season.Nadhani umeona Wenger alivyofanikiwa kuondoa magarasa yake

Usilinganishe Man United na Madrid,United sio timu ya kufukuza makocha kama Madrid kule kocha anatimuliwa hata baada ya mwezi mmoja as you said Capello alifukuzwa licha ya kuchukua ubingwa

OK, unasema Moyes afukuzwe, nani yuko available aje kumrithi?
 
Mkimfukuza Moyes wanaotaka kazi Man Utd watapatikan tena wengi sana. SAF aliwafungia milango kwa kumpendekeza DM kuwa mrithi wake. Katika maisha unahitaji kupata hasara kabla ya kupata faida, umewataja Madrid kwamba wanafukuza mokocha sana. Ni kweli kabisa, lakini hilo limewafanya kupata ubingwa wa ulaya(UCL) mara nyingi kuliko timu yoyote.

Umesema kweli! Kocha si mfalme..anaajiliwa ili timu ipate mafanikio. Sasa mkibaki na Moyes mtaanza kupata hasara ya biashara hatua kwa hatua.
ww ungekuwa kocha wa man u ungeendelea kumtumia giggs???,anderson angeendelea kuwa mchezaji wa man u??,evans,,smalling na valencia wangekuwa na uhakika wa namba??? Kama jibu lako ni hapana basi unasema moyes hafai kuwa kocha wa man u indirectly,ama ungewauza na kununua wengine??lakini najua utasema biasahra ya kununua wachezaji si sawa na kunua nyama angalia spurs wamesajili wachezaji wangapi?? Na kutumia sh ngapi???,umesikia juzi kwamba kuna pound m 200 za usajili zimetengwa?? Unafikiri hizo kazi yake nini?? Na kwanini hazikutumika kipindi cha usajili mkubwa?? Zije zitumike sasa hivi? Simple explanation ni kwamba waliona kikosi kinawafaa lakini matokeo yake yamekuwa kinyume,timu imeanza toka kuboronga kipindi cha pre season kweli hakuliona hilo?,alafu cha mwisho ili nisikuchoshe kocha yule au yyte yule anaajiriwa ili aipe timu mafanikio na kwa manchester hamna mafanikio zaid ya kuchukua ubingwa? Kwa hiyo excuses yyte ile z not be tolerated coz kocha kazi yake ni kupa timu mafanikioa tena moyes kapewa umanager sio head coach maana power yake ni kubwa zaidi,muangalie capello aliipa timu ubingwa madrid wa laliga lakini bado akatimuliwa?? Unajua kwa nini??
 
Nyie wote mnaotaka daudi atimuliwr no watu bski tu...ambao mliikuta man u ikiwa na mafanikio mkaipenda kwa mafanikio na mkazoeshwa ivooo..ebu ngoja niwaulize nani anayajua mafanikio ya SAF kabla hajawa kocha wa Man u??!nadhan hakuna sasa kwa taarifa yenu strategy ya Man u sio kuleta makocha waliokuwa na mafanikio tayari then wanaondoka baada ya misimu miwili No!!Man u ilihitaji kocha ambae atamrithi SAF na mwenye long term plan hata kama akiboronga miaka mitatu fyn lakin atakaeizoea timu na kujenga kikosi chake imara kitakachopata mafanikio miaka zaidi ya 20 kama ilivo kwa SAF..we unaesema eti man u itapoteza mapato kwa kukosa uefa mwakani unaangalia kesho tu..wenzako wanaangalia miaka 10 mbele.asa ipi nzuri kupoteza mapato ya mwaka mmoja au hata mitatu then kujiakikishia mapato hayohayo kwa miaka 20 ijayo...au kufight mapato ato kwa mwaka mmoja ujao halaf kuanza kubahatisha bahatisha kwa miaka inayofuata? Mimi ni Man u damu na kama wewe huwezi kuvumilia kipindi cha mpito basi hamia timu nyingine ila usijidanganye eti Daud hafai mara afukuzwe..Moyes hafukuzwi n'gooo!hata Man u ikishuka daraja i can assure u. Unadhan SAF hakuwaona hao makocha wenu mnaoona wana mafanikio?Unadhan ye mjinga kumleta Daudi?eti mnasema wrong choice!?wewe kwa akili yako ndo unaona ivo ila tunaojua strategy ya timu yetu tunakujua we ni mamluki tu unaependa mafanikio yetu tu uu..Man u will remain the same n Moyes will last longer same as SAF did n ol of his achievement..MAN U FOREVER
 
Mkimfukuza Moyes wanaotaka kazi Man Utd watapatikan tena wengi sana. SAF aliwafungia milango kwa kumpendekeza DM kuwa mrithi wake. Katika maisha unahitaji kupata hasara kabla ya kupata faida, umewataja Madrid kwamba wanafukuza mokocha sana. Ni kweli kabisa, lakini hilo limewafanya kupata ubingwa wa ulaya(UCL) mara nyingi kuliko timu yoyote.

Are serious mkuu kuwa Real Madrid wamechukua mara nyingi UCL sababu ya kufukuza makocha?
FYI
Madrid wamechukua mara nyingi ubingwa miaka ya 1950 wakati huo timu ziko chache,walichukua misimu 5 mfululizo(1955-1960)
Since wameanza kufukuza makocha Madrid hawajawahi kuchukua UCL

Unazidi kujichanganya kwamba katika maisha unaanza kupata hasara then faida halafu unataka Moyes aanze kuleta FAIDA kwanza
 
Tatizo la Moyes kibarua kapata kwa kupigiwa pande na SAF na ndio maana anafuata anachoambiwa na SAF mpaka sasa...after all SAF yuko kwenye management ya timu siku hizi kwa hiyo kwa namna moja au nyingine SAF ni bosi wa Moyes! Ndio maana hajafanya mabadiliko makubwa yaliyohitajika kwenye timu kwa kuendelea kumsikiliza SAF...mwishowe timu inazidi kuboronga! Huu msimu utaisha Man U wakiwa na hali mbaya sana labda ndio kina Glazers wataamka na kumtimua huyu jamaa!
 
Umesahau kwamba Madrid walichukua ubingwa 1998 na walicheza Super Cup na Chelsea Fc matokeo yalikuwa Chelsea 1- 0 Madrid Cf? Madrid wakachukua tena kwa kuifunga Bayer Leverkusen goli la ajabu la Zidane umesahau kocha alikuwa Del Bosque akafukuzwa muda mfupi baada ya kuchukua kombe? Tangu mwaka 1992 hadi sasa Madrid imekuwa na makocha zaidi ya 18 kwa taarifa yako. Najua ninachosema, nikosoe kwa takwimu siyo maneno matupu!
Are serious mkuu kuwa Real Madrid wamechukua mara nyingi UCL sababu ya kufukuza makocha?
FYI
Madrid wamechukua mara nyingi ubingwa miaka ya 1950 wakati huo timu ziko chache,walichukua misimu 5 mfululizo(1955-1960)
Since wameanza kufukuza makocha Madrid hawajawahi kuchukua UCL

Unazidi kujichanganya kwamba katika maisha unaanza kupata hasara then faida halafu unataka Moyes aanze kuleta FAIDA kwanza
 
Kocha aliyewapa Madrid ubingwa wa UCL 1998 ndo aliyewapa ubingwa Bayern mwaka jana.
Kocha aliyewapa ubingwa walipocheza na Leverkusen 2002 alikuwa Del Bosque ambaye kwa sasa ni kocha wa Hispania.
 
Madrid wameanza kufukuza makocha baada ya 2002 ambapo
Del Bosque ndio aliwapa kombe last time since wamfukuze yeye ndio walianza kufukuza makocha ovyo now ni miaka 11 wanafukuza makocha but hawajachukua hilo kombe so nakushangaa logic yako kuwa kufukuza makocha ndio kumewafanya Madrid wakachukua ubingwa mara nyingi
 
Nyie wote mnaotaka daudi atimuliwr no watu bski tu...ambao mliikuta man u ikiwa na mafanikio mkaipenda kwa mafanikio na mkazoeshwa ivooo..ebu ngoja niwaulize nani anayajua mafanikio ya SAF kabla hajawa kocha wa Man u??!nadhan hakuna sasa kwa taarifa yenu strategy ya Man u sio kuleta makocha waliokuwa na mafanikio tayari then wanaondoka baada ya misimu miwili No!!Man u ilihitaji kocha ambae atamrithi SAF na mwenye long term plan hata kama akiboronga miaka mitatu fyn lakin atakaeizoea timu na kujenga kikosi chake imara kitakachopata mafanikio miaka zaidi ya 20 kama ilivo kwa SAF..we unaesema eti man u itapoteza mapato kwa kukosa uefa mwakani unaangalia kesho tu..wenzako wanaangalia miaka 10 mbele.asa ipi nzuri kupoteza mapato ya mwaka mmoja au hata mitatu then kujiakikishia mapato hayohayo kwa miaka 20 ijayo...au kufight mapato ato kwa mwaka mmoja ujao halaf kuanza kubahatisha bahatisha kwa miaka inayofuata? Mimi ni Man u damu na kama wewe huwezi kuvumilia kipindi cha mpito basi hamia timu nyingine ila usijidanganye eti Daud hafai mara afukuzwe..Moyes hafukuzwi n'gooo!hata Man u ikishuka daraja i can assure u. Unadhan SAF hakuwaona hao makocha wenu mnaoona wana mafanikio?Unadhan ye mjinga kumleta Daudi?eti mnasema wrong choice!?wewe kwa akili yako ndo unaona ivo ila tunaojua strategy ya timu yetu tunakujua we ni mamluki tu unaependa mafanikio yetu tu uu..Man u will remain the same n Moyes will last longer same as SAF did n ol of his achievement..MAN U FOREVER
naamini na wewe utakuwa miongoni mwa watu wa mwanzo ambao watafurahia moyes akishatimuliwa na hata kuchangia juu ! kwamba hakuwa kocha sahihi,unayosema kwamba tulikuwa tunajua historia ya saf kabla hajatua man u ?? hiyo haimati,kinachomatter ni je umefikia malengo ambayo umewekewa?? malengo ambayo ferguson alijiwekea/kuwekewa ni kuipiku liverpool katika uchukuaji wa makombe mengi ya ligi kuu ambacho kitu hicho kilionekana sasa hivi ww ulikuwa unaijua historia ya gerardo martino wa barcelona kabla hajatua barca.?? kila kocha au mwajiriwa yeyote anapoajiriwa hupewa malengo??? kama ambavyo anceloti kapewa ya kuchukua uefa na mourinho alivyosema kwamba kama hatiochukua ubingwa hatusubiria afukuzwe bali ataachia ngazi mwenyewe,wewe unafikiri malengo ya man u ambayo mwaka jana imechukua ubingwa yanaweza yakawa nini??? zaidi ya kutetea kombe lake ambaklo tushalipoteza mpk sasa.huu ni wakati wa kuambiana ukweli na ukweli ni huu kama timu haichezi uefa ni ngumu sana kuwaconvince wachezaji wakubwa kuja kutua kwenye timu hiyo othewise utumie ushawishi mkubwa wa pesa kama ilivyofanyaga man city na kama ilivyofanya monaco mwaka jana kitu ambacho kwa manchester yetu ya sasa hivi ni ngumu,alafu kuniita mimi mamluki wa man u haiswihi kwa sababu hujajui mapenzi yangu kwa man u na hujui nimeanza kuipenda man u lini??kutofautiana mawazo na ww hakunifanyi mimi kuwa mamaluki
 
Madrid wameanza kufukuza makocha baada ya 2002 ambapo
Del Bosque ndio aliwapa kombe last time since wamfukuze yeye ndio walianza kufukuza makocha ovyo now ni miaka 11 wanafukuza makocha but hawajachukua hilo kombe so nakushangaa logic yako kuwa kufukuza makocha ndio kumewafanya Madrid wakachukua ubingwa mara nyingi
naamini liele swali lako uliloniuliza ushalipatai jibu kwamba kama moyes sio kocha sahihi yupi sahihi ambae tunaweza kumopata madrid,man city almost kila baada ya miaka miwili wanasajili kocha mpya ambae mara nyingi huwa ana c.v nzuri kuliko hao waliotangulia?? hao kwani wanawapata wapi mpk man u ashindwe??
 
Nimekuelewesha but naona hutaki kunielewa,Man United hawana utamaduni wa kufukuza makocha kama Real Madrid au ManCity pamoja na kufukuza makocha hakuna mafanikio waliyopata ukilinganisha na investment ya wachezaji waliofanya.Kama unataka hivyo sahau kabisa Man United huwa inataka makocha wa muda mrefu ndio maana makocha kama Morinyo hawakufuatwa kabisa.Umesema Moyes hafai nani aje amrithi umeshindwa kusema,i know huwezi kusema but kumrithi SAF kwa wachezaji waliopo kocha yeyote angepata taabu
Kitu cha msingi unatakiwa ujue matatizo ya Man United technical,then linganisha wachezaji waliopo na hizo timu unazozilinganisha(Bayern,Chelsea,Madrid)
 
Jurgen Klopp,diego simeone wa a.m,hao wote ni makocha sahihi wa kuifundisha man u,na kama hao hawakufai au utaona ni makocha wa muda mfupi na kama unahitaji ambae ana experience na mpira wa uingereza basi kwangu mimi hata harry redknap ni kocha mzuri wa kuifundisha man u napenda sera zake,aina ya mpira wake na msimamo aliokuwa nao, spurs ingawaje alikuja kufukuzwa na hata qpr kushuka daraja i blv ni kocha mzuri(huyu nimeamua kumtolea maelezo coz usije ukaleta critism kwamba mbona qpr imeshuka daraja.?) kumbuka aliipeleka spurs uefa na inter alikula magoli 6-5 na kumbuka aina ya mpira ambao spurs ilicheza
 
Fuatilia rekodi zako vizuri: Aliyewapa ubingwa wa UCL 1998 walimfukuza, wakampata aliyewapa ubingwa 2002, kwa hiyo ndani ya miaka 5 makocha wawili ndoo 2 za UCL. Bila kusahau wanachukua ubingwa wa LA LIGA kwa kishindo, hatimaye wakaweka rekodi ya pointi 100 mwaka jana. Mwaka huu Barcelona wakaifikia rekodi yao. Barcelona wenyewe walimfukuza Frank Rijkaard hata ingawa aliwapa ndoo ya UCL mwaka 2006, walipocheza na Arsenal. Kocha ni mataji..kama kocha hana mataji anapigwa chini. Huwezi kupata ofa nzuri za biashara na kocha "under dog"..labda kama uongozi hauko siriazi na biashara.

Back
Top Bottom