Moyes ni si kocha sahihi kwa sababu sasa mnashika # 7.
Naona unataka kubadilisha kabisa mada inayojadiliwa hapa,hizo statistics za makocha wa Madrid sio mada.Mwanzo umesema kwamba sababu ya Madrid kuchukua makombe mengi ya UCL ni kufukuza makocha nikakwambia sababu ya Madrid kuchukua ubingwa mara nyingi walichukua ubingwa mara 5 mfululizo kombe lilivyoanzishwa(1955-1960) wakati ambao hata timu zinazoshiriki kwenye mashindano zilikuwa chache.Del Bosque ndio kocha wa mwisho kuwapa mafanikio (2 UCL+la liga) baada ya kumfukuza yeye karibia kila msimu wanqbadilisha makocha but hakuna mafanikio ya maana waliyopata ukilinganisha na investment ya wachezaji waliofanya.
Lets go back to the topic,Why Moyes is wrong coach for Man United