Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,914
- 10,273
Hii issue ya wachezaji nimeshaileza sidhani kama ni sahihi kumlaumu Moyes,timu ilikuwa inastahili reshufle (hasa defence na midfield)misimu 3 au miwili iliyopita.Unakumbuka kuwa Scholes alistaafu then akarudi tena still hakuna kiungo aliyenunuliwa kumrithi.Kazi ya kusajili viungo hata SAF ilimshindanakubaliana na ww katika mambo mengi tu uliyoyasema lakini mimi bado hoja yangu kuu ni kwamba moyes sio kocha sahihi wa kuifundisha man u kulingana na hizo sababu nilizosema kwenye thread n anyyingine umefanikiwa kujibu vizuri tu,ngoja niendelee kujistify hhis weakness,kwanza katika dunia ya mpira wa sasa hivi mtu kama giggs huwezi kumpanga dk tisini tena katika mechi ambayo we real needed to win,hasa ukizingatia tumetoka kufungwa mechi mbili mfululizo na timu za kawaida,
kingine kocha mpya mara nyingi huwa anamfumo wake na aina ya uchezaji anaoutaka mooyes ndio kocha mpya pekee niliyemuona aliyekuja ttimu kubwa alafu akasajili mchezaji mmoja tena dk za mwisho tena kwa gharam akubwa awakati tungeweza kumpata kwa bei chini ya hapo ingawaje najua utamtetea kwamba ed woodward ndio wa kulaumiwa lakini na yy lawama zinamhusu kwa namna moja ama nyingine kwa sababu kama kocha lazima uwe na msisitizo na uwe na target zako ambazo inabidi uonyeshe jitihada walau tukuone sio kutaka kusajili mchezaji yupo spain alafu ww upo egland
kulingana na maelezo yako wachezaji wengi tu hawafai kuwepo man u kama ulivyowataja sasa kwa nini asiwauze na akanunua wengiine kwa kauli yake amesema kwamba mwezi huu january hasajili hapo pia utamweka edwoodward kwamba ni mhggeni au yy mwenyewe ni mzembe na kumbuka mwezi september alisema hana kikosi cha kucheza cl lakini mwezi huu pia anshindwa kusajili yupo seriouskweli huyu,
kama ulivyosema wachezaji wengi wa man u wameunderperform lakini wamepewa muda kwa nini kagawa na yy aasippewe muda wa kucheza mechi nyingi apate kuzoea epl kumbuka hata kipindi cha ferguson hakuwa anapata playtime ya kutosha,so hawezi kupata consistency kama mabavyo akina valencia, smalling pamoja na cleverleywanapata ingwaje viwango vyyao vya kawaida mno tena kuliko hata kagawa lakini wanapata playtime,kingine mtu kama carrick amechoka mr backpass inapaswa aondoke aje mwingine matokeo yake kaongezewa mkataba wa miaka miwil, kumbuka mechi na swansea carrick na cleverly kila walipokuwa wanapiga pasi ya nyuma walikuwa wanazomewa na mashabiki wa man u ot kabla ya mashabiki wa manu hawajaanza kuimba ataack ataack attackna ferdinand nae kaambiwa ataangaliwa kiwango chake mpk mwisho wa msimu ili apewe mkataba mpya ama la kwangu mimi hawa hawana nafasi carrick natimua ferdinand kiwango hana astaafu the same to giggs.akifaanya hivyo walau atakuwa serious.kinginne kama ulivyosema anakose kufanya right sub ambazo zingine zinztugharimu.
Timu ikifanya vizuri ni ngumu sana kugundua ubovu wa wachezaji angalia Arsenal timu yao ndio hii ambayo ilikuwa mbovu almost miaka 8 wamemsajili mchezaji mmoja tu timu imebadilika cha msingi walewale wachezaji wa miaka yote wameimprove.Moyes lazima awe muangalifu kwenye usajili ammemsajili Fellaini ambaye ameshindwa kuperform kama ilivyotegemewa kila mtu anamlalamikia amenunua galasa.
Kagawa amepewa sana nafasi lakini ameshindwa kuonyesha kiwango kizuri kuna game ambazo Rooney & RVP hawajacheza alicheza tena namba 10 still hakuna assist wala goli
Carick ni mmojawapo wa wachezaji bora wa ManUnited msimu uliopita hata alivyoumia timu imeyumba sana kwa sasa bado hajawa fit
Giggs kwa sasa hastahili kucheza but Jones,Felaini majeruhi wanabaki Anderson na Cleverley nao hawana tofauti na Giggs