Moyes havumiliki,aondoke..

Moyes havumiliki,aondoke..

Moyes bonge la kocha

...masiala hayo mkuu,labda uniambie anafundishwa falsafa ya babu kwanza. angalau angeanzia kwa timu ya vijana akaandae vijana wake akija kupewa timu awe anajielewa kuliko sasa....
 
If you can't support us when we are in difficult, don't support us when we win!! You are job now is to standby the new manager by giving him more time!!! This is a long term project, so relax buddy while we reconfigure the structure of our club.
 
kuna watu wamekosa heshima kabisa toka moyes aanze kuharibu

....huku kwetu yani ilikuwa hakuna wa kuongea tukiingia ukumbini fans wa man,hata kama gemu sio yetu man lazima itajwe hata na mtangazaji,loe maumivu tu, ivi babu anavumiliaje..? au kauza timu....??
 
If you can't support us when we are in difficult, don't support us when we win!! You are job now is to standby the new manager by giving him more time!!! This is a long term project, so relax buddy while we reconfigure the structure of our club.
...tatizo vibonde wetu wansema sana bhana, angalau basi awe anagonga droo,sio anavunja rekodi tu za kufungwa traffod..
 
Man utd wajitoe tu kwenye ligi bana ...timu inabanduliwa vibaya sana yaani mpaka kichefuchefu
 
Give the man tym am sure next season he'll deliver
 
...tunakomaa, sasa mkakati wetu tunatafuta mmoja tumuangushie kipigo kama cha goli tano ivi baasi wanaokuja wooote wataogopa...
 
Give the man tym am sure next season he'll deliver

...mkuuu huyu jamaa anastuastua kama gari inamisi bhana, mi simuamini hta kama mwakani ataweza presha za akina mourinho...
 
...kiongozi uzalendo tunao,tabu yetu hatujazoea maisha ya kufungwa na kukosa makombe. mbaya zaidi tarehe kama hizi tunakuwa tushafunga hesabu ya mwaka tunasubiri champions legue tu. hicho tu ndo kinatusumbua....

Kwan mwaka wa juz smlimaliza msim bila kombe lolote!Mseme hampend 2 moyes maana matokeo mabovu kabisa yameangukia kwake pia mkumbuke baada ya fagason kumtangaza mlmpokea kwa mbwembwe sana mpen muda atafanya vizur 2 kaka.
 
co chaka hakuna timu iliyobora miaka yote rise & fall kipind cha mpito kila timu inapitia river plate ya argentina ilishuka daraja mpinzan wa bocca junioh
 
Pole sana swahiba, maana ulianzisha "thread" kusema "Moyes si kocha sahihi Manchester" wakaja watu wakakupinga sana. Mimi nimefurahi tumewafunga ili angalau kuwasaidia mfukuze DM pale atawaharibia timu. Kuhusu ubingwa imebaki rekodi moja tu ya kuwapa matumaini. Blackburn Rovers walichukua ubingwa 1995 ingawa walikuwa wamepoteza mechi 7. Sasa kuna watu wanajifariji kwamba hata Moyes anaweza kufanya hivyo.
mi nishaongea sana mpk nishachoka kwamba hili garasa halifai
 
Pole sana swahiba, maana ulianzisha "thread" kusema "Moyes si kocha sahihi Manchester" wakaja watu wakakupinga sana. Mimi nimefurahi tumewafunga ili angalau kuwasaidia mfukuze DM pale atawaharibia timu. Kuhusu ubingwa imebaki rekodi moja tu ya kuwapa matumaini. Blackburn Rovers walichukua ubingwa 1995 ingawa walikuwa wamepoteza mechi 7. Sasa kuna watu wanajifariji kwamba hata Moyes anaweza kufanya hivyo.
watanielewa tu kidodkidogo
 
Wale wenye mapenzi mema na ya dhati plus mahaba na Man U tunasema enough is enough hatuwezi kufumbia macho udhalilishaji huu unafanywa na Moyes akishirikiana na bench la ufundi.
Amekaa Everton kwa muda gani na kapata mafanikio gani kwa kipindi chote hicho alichokua hapo Everton...??
Ebu check Swansea sioni utafauti wa budget ya usajili waliyonayo Swansea na Everton kipindi cha moyes sasa ebu ona mafanikio ya Swansea ya muda mfupi huu toka imepanda kwny EPL kulinganisha na ya Everton ya Moyes...?? Sasa maisha ya Everton ndio yanatukuta Man U..
Kwa kigezo hicho tu kimoja kabla sijaongelea na vingine na conclude kusema #Moyesout
 
punguza jazba,ni transition period mkuu,kama una hasira kunya jiwe
 
co chaka hakuna timu iliyobora miaka yote rise & fall kipind cha mpito kila timu inapitia river plate ya argentina ilishuka daraja mpinzan wa bocca junioh

sema wewe
 
Duh eti kamtoa kagawa wakati mtu alikuwa ana dictate game poor sub.duh kweli moyes havumiliki kila siku makosa hayohayo.
 
co chaka hakuna timu iliyobora miaka yote rise & fall kipind cha mpito kila timu inapitia river plate ya argentina ilishuka daraja mpinzan wa bocca junioh

Ila hii ya man u ni kiboko..

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom