isaya mwasetuka
Senior Member
- Feb 17, 2013
- 101
- 23
DUH inanishangaza sana kusikia kutoka kwa fans wa MAN U.Inaonesha ni jins gan sio wavumilivu.Hebu fuatilia fans wa liverpool ambayo zaid ya miaka 20 haijabeba PREMEAR Arsenal zaid ya miaka 8 hawajabeba kombe lolote pia liverpool misimu mi4 haijashirik UCL Bado masgabiki wake wanaiunga mkono.Mapema mno kumhukumu MOYES cha mhm n kusubir msim uishe.lkn kumbuka MOYES alpewa uangaliz wa miaka 2 kwenye mkataba wake endapo atafanya vbaya ndan ya miaka miwili ndipo atafukuzwa.AMA KWEL MTENDA AKITENDWA ANAUNIA SANA.