Moyes havumiliki,aondoke..

Moyes havumiliki,aondoke..

article-2609490-1D414E5D00000578-617_634x229.jpg

Confirmation: Manchester United released a short statement on Twitter


 
Duh inaelekea hakupewa muda wa kuagana na wachezaji...
 
Kwa hakika mashabiki 2limchoka uyu jamaa maana awezi kufundisha team kubwa kama Hii so 2memvumilia sana kila la heri uendako moyes.
 
Kwa jinsi ninavyomchukia D. Moyes bado sijaamini kama ameondoka. Nilikuwa namheshimu sana Sir Alex Ferguson lakini kwa chaguo lake hili imenibidi nirudi nyuma kutafakari nini kilimshawishi amchague Moyes kama hakuna chembechembe za kiuskochi...
 
david moyes has been sacked as man u manager.

source:bbc,sky sports.
 
[h=1]David Moyes leaves United[/h] Manchester United has announced that David Moyes has left the Club.

The Club would like to place on record its thanks for the hard work, honesty and integrity he brought to the role.

source; manUtd website
 
kwanini wamemfukuza wakati kawasaidia wamekuwa wa 7 kwenye ligi!?
 
Safi sana.Atimue mbali kabisa du vipigo kilasiku,tumechoka,asepe tu.
 
kisicho riziki hakiliki hahahaaaa poleni sana washabiki wa Man utd
 
Wakuu hamna atakayerudisha recodi ya Manchester united believe me!labda Alex Ferguson aurudi.

Ila kwa yeyote atakayeletwa Man U wasahau tu mafanikio waliyofikia.
Man U wamechoka hawana lolote,Mbali na ferguson mwingine haiwezi maana Furgson alikuwa akishinda kiujanja ujanja,zam hii hamna mteremko
 
Back
Top Bottom