Wale wahindi wanasoma engineering "imperial college of engineering" huwa c choki kuiangalia hii movie n nzur sana wapi prof.virus na mchizi wa kumeza a.k.a silencer ha ha ha....
yan mlivyotaja hii movie tu mmenipa raha sana. The Silencer anaitwa Chantar. Wapi Rancho, Raju Rastogi and Farhan dah jamaa ni wakali jaman tafteni hii movie
nimeicheki hii movie. mablack hawako serious kabisa. inachekesha sana hasa yule binti white alipokuwa anamwambia dingi yake jinsi atavyojiachia akitimiza 18.Tafuten Soul plane utacheka hadi ukome
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
yan mlivyotaja hii movie tu mmenipa raha sana. The Silencer anaitwa Chantar. Wapi Rancho, Raju Rastogi and Farhan dah jamaa ni wakali jaman tafteni hii movie
"Mind your language" very nice
The BIG BANG Theory
Leonard na the master ''SHELDON'' pale kati...
Hahah ikitu ni tamu hatareee
Mbona hamuitaji kamili c inaitwa THREE ------