movies za vichekesho.

movies za vichekesho.

huyu jamaa nimecheki sana movie zake. modern times, the kid, city light, gold rush na the circus. yuko poa sana. kwenye gold rush jamaa walipigwa na njaa hadi wwwakapika kiatu.

Hahahaha uko vizuri mkuu

Kuna moja ya vichekesho inaitwa Mind Your Own Language hii kitu iko vizuri sana
 
Zote za Mr.Bin ni noma hasa tafuta ''John English''
 
Tafuta The spartans, The dictator, Walk of shame... nna uhakika utacheka sana
 
Mkuu ulivyotaja the dictator umenikumbusha jamaa baada ya kujua kufanya p###to

The Spartans kweli it killin hasa pale walipokuwa wana-dance
 
idi.ot sio?. moja ya movie nzuri sana.

Wale wahindi wanasoma engineering "imperial college of engineering" huwa c choki kuiangalia hii movie n nzur sana wapi prof.virus na mchizi wa kumeza a.k.a silencer ha ha ha....
 
Mkuu ulivyotaja the dictator umenikumbusha jamaa baada ya kujua kufanya p###to

The Spartans kweli it killin hasa pale walipokuwa wana-dance

Hahahaa! Ni kucheka mwanzo mwisho...! "Give a man a ... but teach a man how to use his hand and ....." ile dance yao "we will survive.." hahaa!
 
zilinifanya ni-die for laughing ziko vizuri sana hazichoshi kuzirudia
 
Wakuu ivi kuna alowahi ku watch mouse hunt? Hii itabaki kuwa my no 1 though nimeangalia movie nyingi za comedy.

Kuna rat race, hii ina mastaa wengi wale wa kuchekesha chekesha.

Hata police academy pia nzuri. Nlikua naziangalia sana zamani.
 
Tafuta The spartans, The dictator, Walk of shame... nna uhakika utacheka sana
mkuu hiyo the spartans sijaicheki itabidi niitafute. walk of shamee ya 2014?, ni nzuri maana kuna siku mtu unakuta kila kitu kinagoma. the dictator huyo jamaa cohen ni muigizaji bomba sana. kuna movie yake nyingine zinaitwa ali g indahouse na borat. hiyo borat ni full ujinga.
 
Walk of shame ya 2014 ...spartans utacheka mbavu zivunjike, ujinga mwingiii
 
Zote za Mr.Bin ni noma hasa tafuta ''John English''
bean ni noma sana. johhn english... napendaga sana comedy za wapelelezi zinakuwaga za kijinga sana. kuna hizi naked gun ziko tatu kastaa leslie nielsen zinachekesha balaa. pia kuna austin powers nazo zipo tatu ni full vichekesho.
 
Wakuu ivi kuna alowahi ku watch mouse hunt? Hii itabaki kuwa my no 1 though nimeangalia movie nyingi za comedy.

Kuna rat race, hii ina mastaa wengi wale wa kuchekesha chekesha.

Hata police academy pia nzuri. Nlikua naziangalia sana zamani.

mouse hunt ni zaid ya noma maana panya ana akili zaidi ya mwenye nyumba mwisho ilibid waingie nae nkataba wa amani wakampa ajira katika kiwanda chao
 
hii itakuwa nzuri sana.
 
tafuta The Mask 1 na 2. hutajuta kumtizama jim carrey na vimbwanga vyake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom