movies za vichekesho.

movies za vichekesho.

Bunge movies. utaona movie nyingi kwa mfano: Mbunge Kafulila tumbili vs Jaji Werema mwizi.
 
Three ------ is my number one...little man...police academy
 
muvi zangu Kali za comedy
1.the dictator
2.ride along humu ndan ice cube kauzu knoma wakat Kevin hart anajkuta black emo
3.a million ways to die.hii ukiiona utacheka sana cz kuna tym jamaa alemchukua demu wa mchunga kondoo anamjoke mfugaj kwa kuigza kuongea kkondoo et iiiii,iiiii,iiit wiiiii,iiiiii.....wl b nice
4.we are the millers.hii fake family utacheka sana hasa kuna part dgo anapgshwa pindi la denda
5.growns up.hii part one ndo funny.hii ni kuhusu majamaa walokuwa pamoja tokea udogoni mpaka wanaoa so wanakuja kukutana wote kuspend tym
6.due date.hii ni so funny kama kuna part jamaa anaexpert mtoto atakuwa ka pundamilia kisa mazamtu katoka na niga na mzungu........
 
Kuna moja siikumbuki jina ila jama kila anapojaribu kukaa kwenye kiti, kiti kinarudi nyuma ya zamani kidogo(sio ya kibongo)
 
Guys tafuteni
22 jump street(bado inaoneshwa cinema)
Million ways to die at west
Dictator
 
Guys tafuteni
22 jump street(bado inaoneshwa cinema)
Million ways to die at west
Dictator
bahati mbaya wengine tunategemea torrents na huku hadi uje upate bluray sio leo. naitamani sana kuona combination ya jonah hill na chunning tatum nimesikia na ice cube yumo
 
Tafuta The spartans, The dictator, Walk of shame... nna uhakika utacheka sana

nimeicheki hiyo meet the spartans, ni parody nzuri. eat from them everything and tip them nothing...hehehehe.
 
the gods must be craazy ayayaya!. bushman aliwinda mbuzi akkidhani mnyamapori basi polisi akaja kumkamata ye akaanza kumwambia 'karibu nyama ipo kibao itatutosha wote'. basi polisi akachukua mbuzi kama ushahidi bushman akawaza "huyu jamaa mlafi sana namkaribisha nyama anabeba yote ngoja nikawinde nyingine'.
 
21 and over
Blue streak
Modern family
It department
How high
 
kuna movie za ben stiller kama
there is something about mary-jamaa kamtuma mtu akampelelezee demu wake mpelelezi kamgeuka.yupo pia cameroon diaz.
meet the parents-jamaa anaenda kutambulishwa ukweni, ba mkwe ni former CIA kauzu balaa yyupo na de niro.
zoolander-jamaa ni super model ila ana akili za kijinga.
 
Mr bones, pink painter, city hunter, the cranker, shaulin soccer, mama Jack, gods must be crazy, back from America, big mama movie zote za Eddie Murphy na aliye igiza ya mama Jack zote nzuri.
 
kuna moja inaitwa grandma's boy. jamaa anafukuza nyumba ya kupanga anaenda kuishi kwa bibiake.
pia kuna show ya kris rock inaitwa bring the pain. utacheka hadi machozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom