Wakuu, kuna series moja ya kikorea ni ya muda kidogo ila kali sana kwa mwenye kuijua jina tafadhal,
movie yenyewe ni zile mambo za historical, war ambayo kuna sehemu vita inaenda kuanza halafu starring kasimama juu ya zile kuta zao ndefu (fortless) na jeshi lake, then maadui wanakuja na demu wa mshikaji wamemteka halafu wamemfunga kwenye mti wamemtanguliza mbele kama ngao (shield) kwamba jamaa akitoa order ya kushambulia ina maana kamuua demu wake hivyo mshikaji anasita sana kutoa order ila demu wake anamwambia asikubali kuacha nchi itekwe bora amuue, kama sikosei jamaa alimpiga mshare ila huo moto wake baada ya hapo ilikuwa hatari.
mwenye kujijua tafadhali!!!