The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,349
- 11,850
- Thread starter
- #101
Bado haijatoka.
Bado haijatoka.
Dr. Strange 2 inatoka mwaka kesho hivi? Maana nimesahau kidogo.
Link za kiwango cha 1080p au 720p?Top gun
Siberia
Sijajua ni movie za mwaka gani unazozitaka, kwa top gun zipo nyingi ila nimechukua hii ya Siberia 2018 labda ndio uliihitaji nyingine haijatoka bado. Kiwango 720p link hapo chiniTop gun
Siberia
Top gun ya mwaka 2020Sijajua ni movie za mwaka gani unazozitaka, kwa top gun zipo nyingi ila nimechukua hii ya Siberia 2018 labda ndio uliihitaji nyingine haijatoka bado. Kiwango 720p link hapo chini
https://www.depro-live-cache-cdn.ne...z7rr6mitdhj6u77a4gh4fkusmkfqehlipwvsbma/v.mp4
Top gun:Maverick ya Tom Cruise!?Top gun ya mwaka 2020
Hii link inasema expired..
Mkuu nimeina,nimekubali ni nzuri ila sijaona option ya kudownloadyani kwa Mimi sijawahi kuona app nzuri ya movie kama POPCORN TIME na sidhani kama Itakuwepo
Movie pro box ni ya kishamba sijawahi ona
Mnyabiiii inasound gudiiii hatari
ile sehemu ya selection ya mb na GB umeionaMkuu nimeina,nimekubali ni nzuri ila sijaona option ya kudownload
Sijaionaile sehemu ya selection ya mb na GB umeiona
yes" ni hapo hapo sasa hapo chini kuna hiyo selection ya movie size then bonyeza size utakayo alafu bonyeza hicho kidude cha pembeni achana na hiyo kama logo ya play No siyo hiyo ya pembeni yakeSijaiona
Ok ngoja niifanyie kazi,kiufupi app imekaa njema sanayes" ni hapo hapo sasa hapo chini kuna hiyo selection ya movie size then bonyeza size utakayo alafu bonyeza hicho kidude cha pembeni achana na hiyo kama logo ya play No siyo hiyo ya pembeni yake
AiseeOscar the biggest winner 2019-2020
°parasite -4
°1917-3
°jokers-2
°once upon A time in hollywood-2
Kama hujaangalia hizi movie jua wewe ni bakuli
MARTIAN
LIFE
OLYMPUS HAS FALLEN
AD ASTRAL
GRAVITY
EUROPA REPORT
ARRIVAL
Kushinda hata hiyo sanaMkuu unapenda mambo za anga sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ebu nielekeze ukitaka kufuta file la movie uliodownload kwenye hiyo app unafanyanye maana nimeshindwamkuu iyo kitu naikubali sana Sema inachoboa huwez toa movie nje ya iyo app hapo tu