Movie updates kwa mwaka huu 2020

Movie updates kwa mwaka huu 2020

duuu hii covid 19 inatupanda kichwan Sasa imeanza kuvuruga soka Sasa imetufwata kweny movie daa 😭
Hapa ni mwanzo tu. Movies nyingi ambazo zingetakiwa kuachiwa kwenye big screen zitaahirishwa sababu watengenezaji watakosa mapato.
 
Back
Top Bottom