Movie updates kwa mwaka huu 2020

Movie updates kwa mwaka huu 2020

Wakuu kama unataka izi movie zilizotoka pakua app ya movie box pro search apk inamazagazaga kibao
Screenshot_20200129-185630.jpg
 
Kama hujaangalia hizi movie jua wewe ni bakuli
MARTIAN
LIFE
OLYMPUS HAS FALLEN
AD ASTRAL
GRAVITY
EUROPA REPORT
ARRIVAL
duu mzee nimejitoa kweny bakuli 😂😂😂bado life ngoja nikaisake uku
 
duu mzee nimejitoa kweny bakuli 😂😂😂bado life ngoja nikaisake uku
Na hiyo life zipo nyingi unaweza usijinasue! Ni space movie baada ya sample kutoka mars wanagundua cell fulani ambayo wanaipa mazingira yake then inakuwa linatokea likiumbe kama dizaini ya pweza linawatafuna wee na ni mission ambayo hilo dubwana halitakiwi kufika duniani hehe hilo dokezo tu katazame..
 
Movie zake nyingi ni za space kuna wengine wanaweza wasivutiwe nazo.
Ni kweli napenda sana space movies ila zisiwe zimetiwa madikodiko mengi mpk kuona nimeziangalia hizo na kuzimaliza jua kuna kama movie 50 nimezitema!! Ila pia napenda za kipelelezi na secret services hapo sijaiweka MILES 22 naipenda sana hii movie.
 
Na hiyo life zipo nyingi unaweza usijinasue! Ni space movie baada ya sample kutoka mars wanagundua cell fulani ambayo wanaipa mazingira yake then inakuwa linatokea likiumbe kama dizaini ya pweza linawatafuna wee na ni mission ambayo hilo dubwana halitakiwi kufika duniani hehe hilo dokezo tu katazame..
😂😂😂OK naiweka kweny most wanted iyo kitu ili tu nijinasue apo 😂😂
 
Back
Top Bottom