Movie updates kwa mwaka huu 2020

Movie updates kwa mwaka huu 2020

mkuu baada ya endgame
ziko hivi mkuu
1- AVENGERS
2- AVENGERS: age of atron
3- AVENGERS: infinity war
4- AVENGERS: endgame

~kwa hiyo nafikiri wewe unaisemea hiyo namba 3? Endgame uliyoitaja ndio ya mwisho kutoka
 
ziko hivi mkuu
1- AVENGERS
2- AVENGERS: age of atron
3- AVENGERS: infinity war
4- AVENGERS: endgame

~kwa hiyo nafikiri wewe unaisemea hiyo namba 3? Endgame uliyoitaja ndio ya mwisho kutoka
hizi nimezichek mkuu ila kuna moja kwenye collection zako umeiweka pia ila sijafanikiwa pata title yake
 
hizi nimezichek mkuu ila kuna moja kwenye collection zako umeiweka pia ila sijafanikiwa pata title yake
Ok ntajaribu kukupa link ya zote naanza na hii
3- AVENGERS: infinity war
link........

4-AVENGERS ENDGAME
link....


2-AVENGERS: age of ultron
link....

1-AVENGERS: Assemble.
link....

#nimemaliza mkuu chagua sasa
 
UPDATE
=================
Fast and furious fans mnatakiwa kutokuwa na matumaini tena kwa movie hii kutoka mwaka huu bali imesogezwa mpaka mwezi june 2021

FAST AND FURIOUS 9 update.
 
MULLAN tarehe iliyotakiwa kuachiwa imesogezwa mbele kutokana na mlipuko wa CORONAVIRUS.

MULLAN update.
 
Movies nyingine zilizo kwenye mlolongo huo wa kuahirishwa ni pamoja na



“A Quiet Place Part II”


“Black Widow”


“No Time To Die”


“Peter Rabbit 2: The Runaway”


“Peter Rabbit 2”

"New mutants"

TV SHOWS ZILIZOAHILISHWA



“Grace and Frankie”


“Grey’s Anatomy”


“General Hospital”


“Riverdale”


“Russian Doll” and “Stranger Things”


“Atlanta”


“Rutherford Falls” and “Angelyne”


“The Falcon and the Winter Soldier”


“Carnival Row”


“The Morning Show”


“The Bachelorette”


"The flash"
 
Movies nyingine zilizo kwenye mlolongo huo wa kuahirishwa ni pamoja na



“A Quiet Place Part II”


“Black Widow”


“No Time To Die”


“Peter Rabbit 2: The Runaway”


“Peter Rabbit 2”

"New mutants"

TV SHOWS ZILIZOAHILISHWA



“Grace and Frankie”


“Grey’s Anatomy”


“General Hospital”


“Riverdale”


“Russian Doll” and “Stranger Things”


“Atlanta”


“Rutherford Falls” and “Angelyne”


“The Falcon and the Winter Soldier”


“Carnival Row”


“The Morning Show”


“The Bachelorette”


"The flash"
duuu hii covid 19 inatupanda kichwan Sasa imeanza kuvuruga soka Sasa imetufwata kweny movie daa 😭
 
Back
Top Bottom