hollywood

Hollywood is an American neighborhood in the central region of Los Angeles, California. Its name has come to be a shorthand reference for the U.S. film industry and the people associated with it. Many of its studios such as Columbia Pictures, Disney, Paramount Pictures, Warner Bros., and Universal Pictures were founded there; Paramount still has its studios there.
Hollywood was incorporated as a municipality in 1903. It was consolidated with the city of Los Angeles in 1910 and soon thereafter a prominent film industry emerged, eventually becoming the most recognizable in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. Call me GHOST

    Kwanini movie nyingi za mazombie Hollywood wanaigizia Las Vegas..!?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movie za horror specifically zombie movies basi utagundua movie nyingi za zombies Hollywood wanaigizia Las vegas Kuna siri gani iliyo jificha nyuma ya jiji la Vegas na uwepo wa mazombie Baadhi ya movies ambazo setting yake ni Las Vegas Army of the dead (2021)...
  2. Mhaya

    Movie nyingi za Hollywood ni za kinabii

    Naomba nikwambie kitu kimoja. Wanasayansi hawapendi sana muvi kwa kuwa zinatoa siri zao nyingi sana. Yaani ni bora hata vitabu kuliko muvi, hawazipendi mno. Wakati watu wanatengeneza muvi. Sisi Waafrika tunasema; "Hizo muvi tu uongooooo." Bro! Unaambiwa siri za dunia hii halafu unasema ni...
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    Tupac Shakur: Rapper 2Pac to get star on Hollywood Walk of Fame

    "One thing we all adore, something worth dying for. Nothing but pain, stuck in this game. Searching for Fortune and Fame". Tupac Shakur is to receive a star on the Hollywood Walk of Fame, 26 years after the rapper's death. The hip-hop star will be honoured with a ceremony on the prestigious...
  4. Arnold Kalikawe

    EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

    Siku ya juzi AZAM TV wamepost trailer ya movie yao mpya waliotengeneza kwa takribani miaka 6. Movie hiyo kwa jinsi ilivyotengenezwa ni kama imetumia mfumo wa CGI (Computer Generated Imagery) ambao unatumiwa sana huko hollywood na tumeona kwenye movies kama Superman, Avatar, Avengers na...
  5. I am Groot

    HOLLYWOOD MOVIES: kwa nini huwa wanaweka filter za rangi za ajabu ajabu hasa kwenye scenes au movies zinazohusu Africa, India, .......?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movies utagundua jambo hili. Movie au vipande vingi vya sinema vinavyohusu nchi zisizo za kimagharibi utakuta wameweka rangi kama kuna vumbi vumbi😀. Hivi huwa wanatuonaje? Mfano huu hapa chini Moja ya picha ya kipande toka kwenye kampuni kubwa ya kutengeneza...
  6. JanguKamaJangu

    Majina 963 marufuku kuingia Urusi, staa wa Hollywood, Morgan Freeman naye ni mmoja wao

    Urusi imetoa orodha ya watu 963 wakiwemo Wamarekani maarufu kuwa ambao hawaruhusiwi kuingia Urusi kutokana na sababu mbalimbali. Jina maarufu lililoongezeka katika orosha hiyo mbali na Rais wa Marekani, Joe Biden na mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg pia kuna muigizaji wa Hollywood, Morgan...
  7. babu M

    Roman Abramovich 'begs his rich celebrity friends for $1million loans to maintain his staff

    Russian oligarch Roman Abramovich is reportedly begging his rich friends including Hollywood director Brett Ratner for £765,000 ($980,000) loans to help him pay his staff after being sanctioned by London and Washington, US sources have claimed. The Chelsea Football Club owner, who has been...
  8. Jorge WIP

    Siku hizi Marekani/Hollywood ina idadi kubwa sana ya movie mbaya

    Hili suala linazid kukua kila siku movies mbaya zinaongezeka kwa kasi kubwa sana, Movie nyingi siku hizi zina agenda za ajabu hadi unashangaa hivi waliwaza nini kutengeneza huu upuuzi, hapo chini nimekuwekea list ya baadhi ya movies ambazo nimeziona ziko hovyo mwaka huu 2021.. unaweza kuongezea...
Back
Top Bottom