Movies za Hamza na Mama J mtunzi na director ni ccm

monde arabe

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
8,486
13,017
Habar za muda huu ndugu wanabodi

Naomba nianze kwa kutoa utangulizi kuhusiana na mada iliyopo hapo juu.Katika Dunia ya leo hakuna jambo linaloweza kutokea kwa bahati mbaya;hata majanga ya asili kama matetemeko,mafuriko na maafa mengine ambayo baadhi ya watu huona kuwa ni mambo ya asili,mambo haya huwa siyo ya asili kama ambavyo baadhi yetu tunafikiri.Ukitaka kulidondosha jengo (kama vile ghorofa) huwa kuna weak point ambayo unaweza kuiharibu au kuigusa na hatimaye jengo hilo lazima litadondoka.Ukitaka kumdondosha mwanadamu huwa kuna weak point yake ambayo unaweza kuigusa na hatimaye muhusika anadondoka (hapa inategemea muhusika anaishije na anategemea kitu gani ku-support maisha yake)

Vivyo hivyo hata Dunia inayo weak point yake ambayo wanaifahamu watu wachache sana.Shetani wakati alipoasi mbinguni na kuja Duniani alikuja na taaluma nyingi sana ikiwemo astronomy, physics na nyinginezo nyingi.Kuna taaluma walifundishwa watu wachache sana na bado wanaendelea kufundishwa watu wachache sana mpaka hivi leo.Kuna watu wanai-run na kui-control Dunia kupitia taaluma hizi/hizo kupitia siasa,uchumi,teknolojia na afya (ugonjwa gani uwafikie watu na uwafikie ktk kpnd gani)
Kupitia taaluma hizo watu wachache wanaweza kutengeneza tetemeko la ardhi au maafa ya namna yoyote ile tena wakiwa mbali sana kumbukeni Tsunami;hii ilitengenezwa na watu wachache kupitia taaluma hizi za siri zinazofundishwa kwa watu wachache tena kwa siri kubwa sana.

Naomba turudi kwa hapa kwetu Bongo lkn,naomba nianze kwa kuwa kumbusha machache ambayo wengi hamuyafahamu...je,mnakumbuka kuvuja kwa video ya Amberrutty akiwa anaf*rw*?

Ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya tano iliandaa matukio mengi na kuyatekeleza tena kwa kutumia nguvu kubwa sana.Wakati kamati ya kuwanunua wabunge na madiwani na wanachama wengine kutoka upinzani ikiendelea Kuna kamati ambayo ilikuwa inahusika na wasanii wa Bongo movie na Bongo flavour na hapa wasanii walikuwa wakilipwa fedha nyingi ili wavujishe video za ngono au wafanye matukio ambayo yangewafanya wa-trend kwa muda mrefu mitandaoni na wasanii wote walilipwa kwa kazi hizo (hapa walikuwa wanawashirikishwa wasanii wachache sana namaanisha hivi,unaweza kuzini na mpnz wako na mkaji-record lkn,kati yenu kuna mmoja anakuwa amelipwa na ndye anaujua mchezo wote)

Tujirudi kwenye matukio ambayo ni current (tukio la Hamza na Mama J) haya matukio yameratibiwa vzr na vitengo vya ccm lkn,kidogo kwa Hamza kuna mahesabu yalivurugika na ndyo maana waliamua kumua ili kupoteza ushahidi

Kwa upande wa Mama J kuna mmoja kati yao alikuwa anaujua mchezo wote kuanzia mwanzo hadi mwisho na alikuwa amelipwa fedha nyingi sana ili aweze kuivujisha hiyo connection

KWANINI CCM WANAFADHILI MATUKIO HAYO?
Sababu kubwa ya ccm kufanya hivyo ni kuwaondoa wananchi kwenye jambo muhimu linaloendelea nchini kwa muda huo mfano,connection ya Mama J imevujishwa na kitengo cha propaganda ndani ya ccm ili kuwatoa wananchi kwenye mjadala wa katiba mpya,kesi ya Mbowe pamoja na tozo.Pia,ccm waliona movies za Hamza na Mama J hazitoshi wakaongeza na movie ya Ndugai ya Yesu na Mke wake.Movies hizi nilizozitaja zimefanya kufifia kwa ajenda ya katiba mpya na movement ya watu kudai haki yao,movies hizi zimewafanya watu kusahau mjadala wa tozo na kesi ya Mbowe.

Mwisho kabisa ccm wameamua kuja na movie ya Gwaji girl na Gwaji boy pamoja na ziara ya Mama ya kutangaza utalii.Watanzania tumeacha kujadili mambo ya msingi sasa tunajadili mambo ya ugoro (kunusa vumbi na kupiga chafya) tutakuja kushtuka ni mwezi April,2025 na hakuna maandalizi tuliyoyafanya kulitoa jini ccm madarakani

Pliz mods,msiufute uzi huu wala msiuunganishe na uzi mwingine!
 
Sema jombaa mbona umesema kwa hisia sana kwamba kuna baadhi ya wanadamu wanaweza hadi kutengeza tetemeko na vimbunga sio? freshi ngoja hii kamba nifanye kuilewa tu hivo kibabe

Sema nini nachokiona hii dunia kila mtu akipewa uwanja wa kusema kinachompendeza akilini mwake nadhani ata mwezi unatosha kuwa wote tumeisha duniani🤣🤣
 
Back
Top Bottom