Movie niliyowahi kuipenda sana

Movie niliyowahi kuipenda sana

Siijui lakini lazima itakuwa hii..........

ukifikia kutafuta Escape from Sobibor........au Escape from Isis.......uniite...........

ukishamaliza kuicheki escape from sobibor kabla hamjaanza kuichek escape from isis uniite
 
movie ya Dr Ulimboka maana mpaka leo nasubiri sehemu ya pili bado haijatoka na sioni dalili ya kutoka ila nitazidi kuisubiri
 
Waungwana naomba anayekumbuka jina la movie hii anikumbushe niitafute. Niliwahi kuiona zamani na ningeipenda kuitafuta ili niipakue kwenye Internet. Baba mmoja baada ya kutalikiana na mkewe, mkewe alitoa tangazo la kuhitaji kuajiri yaya kwa ajili ya kumsaidia kuwatunza watoto wake. Kwa kuwa baba huyo hakupenda watoto wake waje kulelewa na baba wa kambo, aliamua kujifanya mwanamke na akaomba kazi hiyo ili awatunze wanawe. Taratibu watoto walimtambua na hata siku moja mkewe alikuja kumtambua. Napenda sana ujuzi wake wa kuweza kuficha identity yake halisi kwa muda mrefu vile. Anayekumbuka title ya movie ile anisaidie tafadhali!!

Mrs Doubtfire...!
I watched it back in 1996 ni nzuri sana sana.
 
Hii hapa 1437327931173.jpg
 
Hiyo movie niliwahi kuiona zamani kidogo lakini hivi karibuni nimekuwa nikiitafuta sn bila ya mafanikio.
 
MV5BMTMxMTIyNzMxMV5BMl5BanBnXkFtZTcwOTc4OTI3Mg@@._V1_SX214_AL_.jpg

A U.S Marshal investigates the disappearance of a murderess who escaped from a hospital for the criminally insane.

Genres: Thriller, Drama, Psychological thriller, Mystery

The implausible escape of a brilliant murderess brings U.S. Marshal Teddy Daniels (Leonardo DiCaprio) and his new partner (Mark Ruffalo) to Ashecliffe Hospital, a fortress-like insane asylum located on a remote, windswept island. The woman appears to have vanished from a locked room, and there are h… Moreints of terrible deeds committed within the hospital walls. As the investigation deepens, Teddy realizes he will have to confront his own dark fears if he hopes to make it off the island alive.
Trailer: Leonardo DiCaprio | Shutter Island | Trailer & Official Movie Site
 
Mimi nilipata original ya hiyo toka Ultra. Ni aina ya Comedy unayoweza kuingilia na watoto na wakwe kwa pamoja, inachekesha na inafundisha... Mapenzi kwa watoto wetu. Pamoja na umahiri wote huu, huyu jamaa anadaiwa kujiua kutokana na msongo wa mawazo.
Ni vyema pia kuziangalia "Andha Kanoon" (Justice is blind ") na" Baby "M". Filamu ya kwanza ndio ilipelekea kutungwa wimbo wa Tundaman "Nipe ripoti"
 
Avatar yako uwa inanifirahisha inanikumbusha king julian my best character in madagascar escape franchise.


Safi sana. Kwa sababu hata mimi nampenda sana huyu "Mfalme Julian". vituko vyake ongea yake, na mambo yake yasiyofanikiwa lakini ni wakujisifu sana kwamba yeye ndiyo kiongozi na anamtesa sana "Morris".
 
Muhogomchungu starling almarhum mzee kawawa wacha mchezo enzi za kina michae yombayomba wacha kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom