Movie 🎦 night 🌃

Movie 🎦 night 🌃

Nolan watu wake ni Leonard DiCaprio, Mara nyingi anapenda kumtumi, sana, ukikosa uje kwa. Matt Damon ndo movie ya Sasa,
Na kuna mzee moja yupo kwenye karibia movie zote za Nolan kasoro oppenheimer ndo hakuwepo na odyessey sijaicheki bado
 
Na kuna mzee moja yupo kwenye karibia movie zote za Nolan kasoro oppenheimer ndo hakuwepo na odyessey sijaicheki bado
All Time bang project ya Nolan ni interstellar..

It was spiritual... Yaani hatari mpaka kupitiliza
 
Sana, mpaka unawaza jamaa huwa wanafikiria nini kuja na hizo idea,
Kati ya speilberg, Nolan na james cameron nani huwa unamkubali 😃
Cameroon kwenye story line na kuteka hisia sawa, ila Nolan anakupa vyote hivyo kwa pamoja na bado visual zikakaa unyama sana
 
All Time bang project ya Nolan ni interstellar..

It was spiritual... Yaani hatari mpaka kupitiliza
Kabisa interstellar ilikuwa ni kali, ni movie ambayo huwa napenda kuirudia rudia hasa kule alipoingia kwenye blckhole
 
Kabisa interstellar ilikuwa ni kali, ni movie ambayo huwa napenda kuirudia rudia hasa kule alipoingia kwenye blckhole
Hapo kuna mafumbo mengi sana yalijibiwa kuhusu reality... Na uwepo wa Mungu..

Ninapenda how Murphy alikuwa right, ila ilibidi baba yake aende outer space ili vitu vije kumake sense baadae
 
Hapo kuna mafumbo mengi sana yalijibiwa kuhusu reality... Na uwepo wa Mungu..

Ninapenda how Murphy alikuwa right, ila ilibidi baba yake aende outer space ili vitu vije kumake sense baadae
Huenda labda reality ndo iko hivyo, ila ukiview reality kwa mtindo huo si inakuwa kama ni timeloop
 
Watu wanasema maoni kapunguza nguvu sana kwa wana, hawapigi vibaya mnoma
Watazamaji wa kawaida wanataka spectacle, mashabiki wa kweli wapo invested in the story.

Sijaangalia supergirl, ila Superman ilikuwa filamu bora kwangu 2025. Superman is a symbol of hope! He's a friendly guy. Na ndivyo alivyokuwa kwenye ile filamu.
 
Back
Top Bottom