Vyote kwa pamoja🙂🙂🙂🙂 Sasa kati ya Kidole na Donati ni nani center na nani attention?.
Au una maanisha kuna center alaf anataka attention?.
Imeshatoka mkuu... 31st of July.. Only on theatersSijaicheki bado ila reviews za watu inaonyesha ni nzuri hata mauzo yake, mi movie ya marvel nayoisubiri kwa hamu na hyo lazima nikaicheki sinema siku ya release ni Avengers Dooms day
mi naisubiri iwe free downloadingImeshatoka mkuu... 31st of July.. Only on theaters
mwamnyeto lazma akabe 😅😅😅Ameoa kwani Hadi aangalie hiyo au ndo kumpiga mwamnyeto tu😀😀
wakisha kusanya pesa za kutosha kwenye theater wanaweza kuiachia, nahisi kama sio mwezi wa kumi na moja basi wa kumi, au mzuka ukizidi naiangalie hivyo hivyo ile ambayo sio HdMkuu utasubiri mpaka mwakani huwa wanachezea ku release kichizi marvel
Yes angalia tu mkuu Nenda kwenye libraries utapata zenye unafuuwakisha kusanya pesa za kutosha kwenye theater wanaweza kuiachia, nahisi kama sio mwezi wa kumi na moja basi wa kumi, au mzuka ukizidi naiangalie hivyo hivyo ile ambayo sio Hd
Chukua AGENT KIMLeta vyuma vyenye uhalisia yani actions za maana bana
Ngoja nije nifanye hivyo, lla avengers dooms day lazima nitaicheki sinema siku ikitokaYes angalia tu mkuu Nenda kwenye libraries utapata zenye unafuu
Hicho chuma ni balaaChukua AGENT KIM
wakisha kusanya pesa za kutosha kwenye theater wanaweza kuiachia, nahisi kama sio mwezi wa kumi na moja basi wa kumi, au mzuka ukizidi naiangalie hivyo hivyo ile ambayo sio Hd
Christopher Nolan na mwingine Steven Spielberg wakitoa kitu wametoa wanakaza miaka hawaWewe hufatilii vizuri mkuu..
Japo kuna yule jamaa wa aloe tengeneza Dune na odessy yuko makini sana..
Ila bado marvel ni studios bora kabisa duniani na wanapiga hela ndefu mno
Au shop of killerHicho chuma ni balaa
Ngoja nije nifanye hivyo, lla avengers dooms day lazima nitaicheki sinema siku ikitoka
kabisa ila season 2 mi nishacheki ep moja tuAu shop of killer
Chukua Evil dead burn 😁uone ngoma zipo tatuHorro huwa sizipendi sana... Maana hata story line zake huwa hazieleweki...
Hiyo ikoje mkuu?
Kama disclouser day ushaicheki pale.steven spielberg kaua ile movie ni kali hasa kama unapenda mambo ya conspiracy theory, na Nolan hajawahi kuharibu jamaa sio wa dunia hii kabisaChristopher Nolan na mwingine Steven Spielberg wakitoa kitu wametoa wanakaza miaka hawa
Si ndo hapo mwisho naona jina la Mzee nikasema kumbe Katia mguu humu, ipo top sana😁Kama disclouser day ushaicheki pale.steven spielberg kaua ile movie ni kali hasa kama unapenda mambo ya conspiracy theory, na Nolan hajawahi kuharibu jamaa sio wa dunia hii kabisa