Movie 🎦 night 🌃

Movie 🎦 night 🌃

Huenda labda reality ndo iko hivyo, ila ukiview reality kwa mtindo huo si inakuwa kama ni timeloop
Na ndio uhalisia
Time essentially ina exist on all past, present and future.. At once.

Si uliona walivyo fika kule kwenye black hole.. Au ile sayari ambapo saa moja ni miaka 22 duniani?
 
Ndio nilipacheki hapo, interstellar inafanya black hole zionekane ni vitu vizuri kwenda kutembelea,

Kuna idea moja huwa ninayo kwamba huenda big bang tulisabisha sisi wenyewe yani future human ndio walisabisha tukio la big bang na dunia kuanza ili waje wa set off big bang, kama ilivyo kwenye interstellar kama cooper alivyoenda kwenye tessaract ili asababishe yeye aende kwenye ile safari aingie kwenye black hole

Au kama series ya Dark kama ushaicheki wanamsemo wao unasema "the end is the begining and the begining is the end" huo msemo ndio ulisabisha nianze kuwaza huenda hata big banga iilkuwa hivyo
 
Big bang pia ni man made conception
 
shule shule shule, tujitahidi kuwapeleka watoto wetu shule angalau wapate elimu wasiwe kama sisi wazazi, subtitles nazo hukuzielewa?
Maana yangu haikuwa hiyo mkuu ila nilicho kuwa nategemea kuona kulingana na trailer sio nilicho kiona mule ndani yani expectation zangu zilikuwa kubw kulingana na teaser
 
Back
Top Bottom