Move over Turkana, Tanzania to soon have largest wind power farm in Africa

Do you know that your electricity connectivity stands at 32% while that of Kenya is at 75%?
Are you aware that your paved roads are around 7,000km while that of Kenya is at 18,000km?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama chakula tu kimewashinda mnategemea wachina kuwapa chakula, mtaweza kujenga barabara na kuunganisha UMEME?. Hii tabia ya kupewa misaada na mikopo na mchina, kuweni makini mwisho watawapa mimba.

The last time I checked the electricity connectivity was 32% for Tanzania and 75% for Kenya.
Also the last time I checked the road network between Kenya and Tanzania was 7000km for Tanzania and 18000km for Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Will Tanzania soon have the largest wind farm on the African continent? This could be possible if the project of the Chinese group Sany Heavy Industries comes to fruition. The group, which specialises in the manufacture of construction machinery, is diversifying its activities, also producing wind turbines.

For several years, the company has been developing its own projects. In Tanzania, it has obtained an agreement with the government to build a wind farm capable of producing 600 MW, making it the largest facility of its kind on the African continent, thus offsetting the Lake Turkana wind farm which supplies 310 MW of electricity to the grid in Kenya.

SOURCE: Sany Heavy Industries will produce 600 MW of wind energy in Tanzania | REVE News of the wind sector in Spain and in the world
Going green, good work guys.
 
Huko kwenu Kaskazini kuna barabara? Reli? Bandari? Sisi kila kwenye source ya umeme (windfarms) kuna aidha barabara ya lami ama reli au vyote na vikiunganishwa na Bandari za Dar na Tanga! Mfano Singida n Hedaru Same! Muache upumbavu kufikiri tupo sawa kimiundombinu! Kingine hatuingii mikataba ya kipumbavu!
Likija kwenye swala la miundo mbinu hata wazimu anayekula jalani anajua Kenya ina miundo mbinu nyingi kushinda Tanzania.
 
BRT inawasumbua ata hamjui pa kuanzia. Miaka inasogea, Mara mnapaka rangi barabara, Mara mnarudi nyuma na kuanza study upya! Huku Tz BRT is up and running mpaka kupewa tuzo za kimataifa na phase two ujenzi unaendelea. Sizani kama kuna nchi Africa inaichukulia Kenya mfano kwenye kujenga miradi. Halafu hao wanaojenga ni wachina, Sasa kama mmeshiba chakula cha misaada mpaka mnajiona mnanguvu kuliko wanao wapa hiyo misaada ya chakula hili ni tatizo kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha jamaa usinichekeshe
 
Nikikunukuu: 'Sizani kama kuna nchi Africa inaichukulia Kenya mfano kwenye kujenga miradi' Sisi sasa kwa mifano ya kuigwa ndio sana, hadi tunapewa kandarasi. Waulize wahabeshi kuhusu mradi wao wa nguvu za mvuke halafu urudi!
 
Back
Top Bottom