KiparaJ
New Member
- Apr 5, 2026
- 3
- 7
Habari wakuu?
Nahitaji smartphone nzuri affordable isiyozidi laki Tano inayoweza kutunza charge angalau kwa saa 30 au zaidi
Nimeambiwa simu zenue betri ya 7000mHA zinakaa na charge ikiwepo Motorola G6 Power na Oppo Reno.
Naomba ushauri wenu kwa mwenye uzoefu.
Budget yangu ni 500,000/