DuhBweni la wasichana la shule ya sekondari Oljoro namba tano iliyoko wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara limeteketea kwa moto ambao bado chanzo chake hakijajulikana na kusababisha uharibifu wa miundombinu pamoja na vifaa vya wanafunzi.
View attachment 1589857
Hata mimi nakumbuka aisee shuleni kwetu tuliorganize tuchome moto na petroli ilishapatikana lkn ikawa haina nguvu kila tukichoma inazimikaNikikumbuka tuliwai organize mgomo tukapanga ety tuchome shule sijui tungefaidika nini ahahahah ..pole kwa uongozi wa shule nzima
Hata mimi nakumbuka aisee shuleni kwetu tuliorganize tuchome moto na petroli ilishapatikana lkn ikawa haina nguvu kila tukichoma inazimika
Wenye ilikuwa ifike saa mbili usiku ,,shule ianze kufuka moshi sema tuu mchana wake mkuu wa shule akatuliza amani ya shule
Ndanda.?wewe ulisoma wapi mkuu,mimi ilikuwa kusini
Mt town(tec)Ndanda.?
Sad indeed. Mungu awe nanyi katika wakati huu mgumu.Bweni la wasichana la shule ya sekondari Oljoro namba tano iliyoko wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara limeteketea kwa moto ambao bado chanzo chake hakijajulikana na kusababisha uharibifu wa miundombinu pamoja na vifaa vya wanafunzi.
View attachment 1589857
Fanya kazi ewe myunani.