Moto wateketeza bweni Shule ya Sekondari Oljoro

Kuna Moto mkubwa Sana leo.... Barabara ya Kuelekea Dodoma, maeneo ya Kongwa Ranches. Sijui Moto huu mkubwa umesababishwa na Nini. Tupo kwenye Foleni Ndefu Sana.
 
Bweni la wasichana la shule ya sekondari Oljoro namba tano iliyoko wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara limeteketea kwa moto ambao bado chanzo chake hakijajulikana na kusababisha uharibifu wa miundombinu pamoja na vifaa vya wanafunzi.

View attachment 1589857

Fedha za umma ambazo zingetumika kwa ukarabati zimeishia kuwalipa wasanii kwenye kampeni za CCM.
 
Back
Top Bottom