Moto wa ajabu, viumbe wa ajabu, ajali ya kushangaza..!

.
IMG-20190813-WA0159.jpeg
 
RRONDO wangekuwa panya tungesema ni panya... Mizoga bado iko eneo la tukio watu wanakaribishwa kuja kushuhudia... Hakuna mipanya mikubwa hivi
Swali langu brother ukiwa kwenye eneo la tukio mhusika mkuu bado hajafika? Na je kama ameshafika wewe mwenye ufahamu wa 6 unamuonaje yupo katika hali gani?
 
Ndio maana huwa siamni utajiri wa mtu hata kidogo eti katumia nguvu zake no no!!!!!
Naunga mkonyo hoja yani kuwa tajiri sio tatizo ila Ku maintain hyo status kwa mda urefu lazma upite mlango wa nyuma iwe popote pale
 
Back
Top Bottom