Moto wa ajabu, viumbe wa ajabu, ajali ya kushangaza..!

RRONDO wangekuwa panya tungesema ni panya... Mizoga bado iko eneo la tukio watu wanakaribishwa kuja kushuhudia... Hakuna mipanya mikubwa hivi
tusaidie kujua ukubwa halisi (urefu wao) maana kama ni jamii ya rodents wapo wakubwa ambao hufikia futi 3.5 mpk futi 4 (mfano ni Capybara) tukijua ukubwa wao halisi hapo tutaanza utafiti wetu mfano kama pimbi (Hyrax) huwa hawazidi cm 70 kwa kawaida nao ni jamii ya panya, hao nahisi walitafuta sehemu dhaifu wakaingia darini wakala nyaya huko mwishowe moto umewaua wote!
 
Mbona wanafanana kama fisi, miguu ya nyuma mirefu ya mbele mifup
Kama ilivyoripotiwa na Uwazi lakini sina hakika kama kweli walifika eneo la tukio
IMG-20190813-WA0158.jpeg
IMG-20190813-WA0159.jpeg
 
Back
Top Bottom