Mh ya kweli haya ?
Huyu jamaa sijui kama anajua anachokisema
Hajawahi muona panya buku huyu
HAPANAEti wanasema ni mipanya
Angalia vizuri mbwa miguu yake huwa imelingana. Huyu miguu ya mbele ni mifupi kuliko ya nyuma yaani kama kangarooYaaah mbona ni Mbwa sema sasa mbwa walikuwa ndano wakati nyumba inaungua na je mwenye Nyumba walikuwa wanafuga mbwa hapo kabla ya ajali ya moto???
Hapana sio yeye mkuu... Umemtazama vizuri huyu kiumbe?Mara ya kwanza kumuona panya buku nilishangaa sana ukubwa wake
Hebu angalia hii picha kama sio yeye View attachment 1175559