Moto mkubwa shule ya Uhuru

Status
Not open for further replies.
Mtoa hii mada anaitwa moto wa volcano, shule imeungua moto ndani ya siku kadhaa tu
 
Watu wanataka wajenge ghorofa zao kuanzia underground ili watakatishe pesa zao za wizi na madawa ya kulevya alafu nyie mnaleta habari zenu za za uchuuzi na uuzaji wa makapeti. Tulieni, hii awamu siyo ya wanyonge.
 
Kweli wewe Kiranga ni mtoto wa town kama hadi mama yako kasoma town. Mimi isingekuwa kuja chuo mwaka 2007 ningechelewa sana kuja mjini Dar. Labda ningekuja kwenye harusi ya binamu mwaka 2016...

Mission Quarters Stand Up.

Kitchwele Stand Up.

Huyo mama babu yake alikuwapo town Dar mwaka 1903.

Kuna kanisa la Kilutheri pale Dar town Azania Front, limemalizika kujengwa 1903 na Wajerumani, yeye alikuwa mmoja wa waliolijenga.

German East Africa inaanza kuipanga Dar wazee wapo wanaona.

Maana yake alikuwapo town tangu miaka ya 1800 huko.

Hawa hawakuja mjini, mji umekuja kwao.

Huo moto vipi wameudhibiti?
 
Kuna mtu kaleta hoja juzi shule ivunjwe! Alikuwa anatualert sio? 😁
Exactly.
Huu mpango shule zihamishwe. Pageuzwe sehemu ya parking na biashara.
Hapo kuna wazabuni na wawekezaji wabia. Kafulila na PPP... yake 🤔
 
Mkuu vipi wameuzima au bado unawaka!
 
Reactions: Lax
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…