Most Wanted

Most Wanted

nimewapata wakuu
inakuwa tabu pale mtu wa aina hiyo anapohitaji assistance ya kumficha.

Si ndio mtu unajikuta umekuwa accomplice bila kutarajia?

Naogopa!

..usijaribu kumficha itakuletea na wewe matatizo, nani atamsaidia mwenzie? Dawa ni kumwambia aende mbaaaaaaaaaaaliiiii uswekeni kabisa, tanzania ilivyo kubwa nani atamjua....(mradi asiwe na kosa la mauaji ubakaji nk lakini).......
 
una mtu wako wa karibu ama ndugu
anatafutwa kwa makosa kadhaa
na wewe unataarifa zake

najua kitu sahihi ni unatakiwa upeleke taarifa kwenye mamlaka husika.
Lakini, mbona inakuwa ngumu sana kumtoa kafara??

Ni nini cha kufanya kwa hali kama hii? Ushauri tafadhali.
Speak to the next person kwanza kuhusu taarifa zote, iwe mtu ambaye unamwamini. Then, mamlaka husika ikikulazimu kutoa taarifa basi weigh-out kuangalia kama kutoa taarifa sahihi kutamsaidia mtu wako, kama hakutamsaidia basi geuza taarifa.
 
Back
Top Bottom