Most Powerful Militaries in Africa

Kama Kenya ipo nafas ya sita basi nafasi ya tano utangulie Somalia,hahahah watu wanne siku nne jeshi zima,polis,wings na special task forces!!!! Shame in u kenyans

ila kwa kweli kenya mlituaibisha..siku nne mnalia na watu wasiozidi kumi.......
 
Kwa kuzingatia ufanisi Jwtz ni hakunaga east and central africa.jwtz wamefanya kazi nzuri Comoro,Iddi Amin Uganda,Frelimo na M 23 DRC Congo.Ni tofauti na majeshi ya majirani zetu ambayo yamekutana na operations chache ukiondoa peacekeeping.Kwa kuangalia vifaa tulivyonavyo,mafunzo ya askari wetu pamoja na discpline we are one of the best armies in the continent na hili Jwtz wamethibitisha na wanaendelea kuthibitisha
 
kenya wamenunua stealth fighters rafale jets toka ufaransa na modified f-15e toka israeli,attack choppers wako na mil-28 na kamov 50 toka urusi,Z-WE harbin toka uchina,MD helicopters a.k.a yy choppers from USA. BDRM scout cars toka Russia,wild cat armoured carriers toka israel na puma armoured cars toka South africa,drones pia wanazo kwa hivyo siwa kuchezewa kwa ukanda huu.source google david goldman ukiweka kila moja nilichotaja, david is a defence analyst.
 
kenya wamenunua stealth fighters rafale jets toka ufaransa na modified f-15e toka israeli,attack choppers wako na mil-28 na kamov 50 toka urusi,Z-WE harbin toka uchina,MD helicopters a.k.a yy choppers from USA. BDRM scout cars toka Russia,wild cat armoured carriers toka israel na puma armoured cars toka South africa,drones pia wanazo kwa hivyo siwa kuchezewa kwa ukanda huu.source google david goldman ukiweka kila moja nilichotaja, david is a defence analyst.
Sasa vile visomali vinne mbona viliwashinda? Afu naskia vilisepa safely.
 
Aliizidi Tz kwa Model 2 za MiG na Tupolev Tu-22 ambazo TZ hazikuwepo!! Alikuwa ta Vifaru T-54 na 55 ambavyo ni juu ya JWTZ! aliizidi TZ kwa BM model ambazo hata hivyo zilitekwa zikageiuziwa kwao! Alipewa msaada wa wanajeshi kama 2,500 from Libya na vifaa vya kisasa pia ila still JWTz walisimama imara! Nahisi nimekujibu kuwa I. Amin alikuwa na vifaa gani vya kisasa!!
Teh Teh......yahitaji busara kubishana na mjinga,kwanza muulize vifaru aina ya T-54 na 55 ni vidibushwa vya aina gani,asije akakwambia hivyo vifaru vipo Serengeti mbuga wanaodai kuwa ni yao kwa 100%
 
7.LIBYA
6.KENYA
5.ALGERIA
4.NIGERIA
3.SOUTH AFRICA
2.ETHIOPIA
1.EGYPT

MJUMBE HAUWAWI....
Source:Most Powerful Militaries in Africa | AFKInsider

The Global Fire Power ranking, or GFP, measures countries’ military strength and assigns a power index number in order to compare them to other countries. Many factors are taken into consideration, and smaller countries can compete with larger ones due to points given for refinement and technological advancemen - See more at: Most Powerful Militaries in Africa | AFKInsider

kwa africa tanzania inashika nafasi ya sita, east and central africa tanzania inaongoza. so hiyo list haijakaa sawa hebu jaribu kuchek vizuri
 
Just open the link below:

Top 10 strongest military in east Africa - WikiAnswers Well tbh you cant even make
a top 10 with the official east of Africa. If you mean the wikipedia version (The
geographic ... wiki.answers.com >
Answers.com > Wiki Answers
> Categories > Travel & Places
> Continents and Regions >
Continents > Africa
 
teh teh......yahitaji busara kubishana na mjinga,kwanza muulize vifaru aina ya t-54 na 55 ni vidibushwa vya aina gani,asije akakwambia hivyo vifaru vipo serengeti mbuga wanaodai kuwa ni yao kwa 100%

poor kenyans, kamuulize kenyata kwanini baba yake alikuwa anaihofia sana tanzania hata kuliko mareaki na urusi?
 
poor kenyans, kamuulize kenyata kwanini baba yake alikuwa anaihofia sana tanzania hata kuliko mareaki na urusi?

ni kweli mzee kenyatta alihofia Tanzania si kwa vita bali kwa kuwa kila mwananchi alikuwa anamiliki gari tofauti na Amerika na Urusi yaani chana mbuga.
 
hahahaha bado uko haya ya westgate? walio kua wakiiba walishikwa na kuadhibiwa na mali ya watu ikarudishwa. tafauti yetu na yenyu ni media, our media exposes everything, so jambo kama hili lingetokea Bongo (mungu aepushe) the world would never have learnt bout it.. we dont live in the past, we learn from it and move on... Unlike you guys, still talking about the previous EAC and liberating South african countries.. come on guys

Sisi hatuna ukabila kama wa kwenu, uliwahi kusikia Bongo tunachaguana kikabila kama ninyi??!.
 
hahahaha wanipa raha weye. wamaanisha ustadi wenyu wa kijeshi ndio uliomfanya Uhuru na kagame walegeze msimamo wao wakuitenga TZ, ni aidha wewe si msomi wa current affairs ama you are living in your own world.

Nakubaliana na wewe kuwa huwezi research jeshi la mwenzako ukaja na conclusive results, lakini kuna mambo yako hadharani ndio tunayo ya discuss. sina ubaya eti.

Nadhani utakuwa ni Mungiki wewe, hilo jeshi lenu limekusaidia nini? Mbona unasahau matatizo yenu?.
 
hadi jeshi la Kenya nakataa, lililoshindwa westgatena kulipua jengo na kusingizia wameua magaidi watano kumbe magaidi walikuwa wanne hawakuua hata mmoja zaidi ya kuuana wao kwa wao, jeshi halina nidhamu acha utani kabisa...

KDF hiyo hiyo imeteka Kismayu na maeneo mengi tu ya Al Shabab. Westgate haikuwa mahala pa kupeleka jeshi la kivita (aliyechemsha ni amri jeshi wao rookie Kenyatta)
 
False info. hiyo wacha nikupe maono yangu .....
Jeshi Libya = Lilishindwa na vijana wakasambaratishwa. Jeshi la Kenya = Lilshindwa na vijana wane(4) wa ALSHBB KDF ikagaragara!! jeshi la Nigeria = Lina haha kwa BK. Jeshi La SA = Ni la kukodisha (merecneries) Jeshi la Ethiopia = kiboko yao AlSHBB. hakuna lolote isipokuwa propaganda tu!!

True mkuu hasa hapo kwa kenya,westgt issue imeonesha failure kubwa kwa wanajesh wa kenya,yaan aibu tu,ukichek makala maalum ya jicho pevu,aibu tu,
 
True mkuu hasa hapo kwa kenya,westgt issue imeonesha failure kubwa kwa wanajesh wa kenya,yaan aibu tu,ukichek makala maalum ya jicho pevu,aibu tu,
Mkuu Zanishaha Ubarikiwe... La Ajabu utakuta BAJETI ya wizara ya ULINZI (jeshi) ya nchi husika asilimia kubwa kutumika kwa for Defence !!.... Na kila aina ya huduma inaelekezwa jeshini, dedekazo za hali ya juu hutandaziwa Jeshini !!
Lakini wakishutukiziwa tuu!! hamna kitu !!
 
Back
Top Bottom