Egypt ina ndege 900, yaani mia tisa!
Duh, kweli mkuu?
Egypt ina ndege 900, yaani mia tisa!
KDF imo Mkuu!
LIBYA HAKUNA JESHI Pale ..lililokua na nguvu by then ni la Ghadaf,hivi sasa kuna vikundi vya wanamgambo tu.
Jeshi la tanzania ni la ngapi!?
hata wewe mkuu ukiamua unaweza kuunda rank yako ukapost basi tu..hadi jeshi la Kenya nakataa, lililoshindwa westgate na kulipua jengo na kusingizia wameua magaidi watano kumbe magaidi walikuwa wanne hawakuua hata mmoja zaidi ya kuuana wao kwa wao, jeshi halina nidhamu acha utani kabisa...
Hili ndio Jeshi dhaifu.
usiamini kila unachosikia hiyo chat imetolewa usa na ndio husupport budget sam% ya KDF SASA ulitegemea wajilet down think twicehadi jeshi la Kenya
nakataa, lililoshindwa westgate na kulipua jengo na kusingizia wameua
magaidi watano kumbe magaidi walikuwa wanne hawakuua hata mmoja zaidi ya
kuuana wao kwa wao, jeshi halina nidhamu acha utani kabisa...
ha ha ha ha , I like itchat yako haijakaa sawa hadi KDF imo Kenya Drinking Force
Jeshi bora ni la Bongo (JWTZ) of (TPDF) coz halijawahi kushindwa operation yoyote ile ndani au nje ya nchi!!!
Source; My bedroom!
Hahahaha kelele hio aise, but its nice to see that Tanzania has so much confidence in its army.
what a joke!!! unajua nchi kama morrocco air force yake wana fourth generation f16 zaidi ya 20..... hizi ni among the most advance fighter jet in the world kwa mfano hapo jiran zetu kenya wenye outdated second generation f5 fighter jet kweli wako juu ya morocco???[/
Hao Morroco wana hizo f16! lakini kumbuken kuwa kawaida ya Mmarekani ni kukalia vifaa vyake kokote pale ulimwenguni!!
Bora wangekuwa na Mig 35 kuliko kuwa na vifaa Advanced vya mmarekan (hata 5th generation kama F22-Raptor!!)
False info. hiyo wacha nikupe maono yangu .....
Jeshi Libya = Lilishindwa na vijana wakasambaratishwa. Jeshi la Kenya = Lilshindwa na vijana wane(4) wa ALSHBB KDF ikagaragara!! jeshi la Nigeria = Lina haha kwa BK. J eshi La SA = Ni la kukodisha (merecneries) Jeshi la Ethiopia = kiboko yao AlSHBB. hakuna lolote isipokuwa propaganda tu!!
Y'all fruits dont know what you are talking about. Mnadhani KDF ni wenzenu?Jeshi la Ethiopia ndio jesh ambalo linaogopwa sana na alshbb alafu kuhusu jesh la SA umeongopa kabisa...ila kama na KDF ni ya 6 basi JWTZ itakua ya tatu.....KDF hawana nidham hata kidogo.