Most dangerous things to man

Most dangerous things to man

Bad wife anamaanisha nagging wife.
All women are nagging in nature when it comes to demand what they want most......not all nagging wives are bad.
 
Between poverty and bad wife who kills a man faster?...

The word "most" in the heading should be prefixed with definite article "The" and becomes; "The most---.

Cf; constructive criticism 🤣.
 
The word "most" in the heading should be prefixed with definite article "The" and becomes; "The most---.

Cf; constructive criticism .
Una nikumbusha sana my primary English teacher alikua so Conservative and rigid alisoma kipindi cha Nyerere elimu ya watu wazima. alipenda sana useless trivial issues ila alisha fariki.........
 
Una nikumbusha sana my primary English teacher alikua so Conservative and rigid alisoma kipindi cha Nyerere elimu ya watu wazima. alipenda sana useless trivial issues ila alisha fariki.........

Mimi secondary O level nimefundishwa kiingereza na mswahili mmoja na akina mama wawili wa kihindi, A level nilichukua science na nilibahatika kufundishwa Physics na mwalimu aliyesomea Uingereza, alikuwa mkali kinyama kwenye physics na kiingereza pia, huyu hasa ndiye aliyenipa msukumo mkubwa wa kujua kiingereza kwa kiasi kikubwa licha ya kwamba bado sija ki master vya kutosha.
 
Kumbe umenikumbusha pia, rafiki yangu moja Mhaya alipenda sana sifa za kuonekana anajua sana kiingereza hata anaweza akavuruga maongezi muhimu, kisa a register his presence alikua mpumbavu kweli kweli, hata punctuation ndogo kwenye neno kama its, atapaaza sauti, watu wali mshangaa kwa ule ushamba wake, sijui ndo alikua wakwanza ukooni kwao kujua kiingereza au kusoma, lakini bahati mbaya nayeye pia kasha fariki..........
 
Poverty because money gives you many options fear poverty.
 
Kumbe umenikumbusha pia, rafiki yangu moja Mhaya alipenda sana sifa za kuonekana anajua sana kiingereza hata anaweza akavuruga maongezi muhimu, kisa a register his presence alikua mpumbavu kweli kweli, hata punctuation ndogo kwenye neno kama its, atapaaza sauti, watu wali mshangaa kwa ule ushamba wake, sijui ndo alikua wakwanza ukooni kwao kujua kiingereza au kusoma, lakini bahati mbaya nayeye pia kasha fariki..........

Unajua ulitoa somo zuri sana la "constructive criticism"--- watu wengi naturally hatupendi kukosolewa au kujishusha, ni hivi; kukosolewa ni bora sana kuliko kukosoa, unapokosolewa unajifunza na unapokosoa hujifunzi kitu, kila kosa dogo jumlisha kosa dogo hatimaye huzaa kosa kubwa (haba na haba hujaza---), hivyo mtu, mfano, ukikosea kuandika "The" before superlatives (The smallest, The highest etc) kwa haraka mtu unaweza kuona ni kosa dogo na usipojua au asipotokea mtu kukujulisha hatimaye utajenga mazoea ya kukosea na hatimaye utalemaa maisha yako yote, mimi personally napenda kukosolewa sana huku nikitambua kwamba hakuna mtu anayejua sana au anayejua kila kitu na hapo ndipo ninapopata moyo wa kujifunza zaidi na nitaendelea kujifunza hadi naingia kaburini. There is neither inferiority complex nor shy in learning and I 'll humbly be thankful and appreciative to a one who sees my errors, make me know them and above all correct me, that is how I'm.
 
Umasikini ni aibu kuu na fedheha kuliko kitu chochote kile hapa duniani. Ukiwa masikini huwezi kumudu matibabu, chakula, malazi, mavazi, heshima kwa jamii itashuka, watu wako muhimu watakukimbia. Ukiwa masikini hauna option ya kusema unauacha kesho au leo ni hadi upambane kwa muda mrefu tena kwenye right channel.
Lakini ukiwa na mke mbaya unaweza ukaamua leo kuachana nae na kesho ukawa salama ukapata mwingine maisha yakaendelea. Kwanza usipokuwa masikini wanawake watakutafuta wenyewe, wewe huwezi kuhangaika.
Nasisitiza umasikini ni aibu na fedheha kuu, tuukatae usiku na mchana, gizani na nuruni, tukiwa tumelala au tukiwa macho. Umasikini ni mbaya kuliko ukimwi, Kansa, kisukari n.k. Asante
 
Between poverty and bad wife who kills a man faster?...

Coming to your question of poverty and a bad wife which one kills faster ?!, in my opinion it depends on a degree and magnitude of harshness of each one respectively on a concerned man, on top of that they are naturally two incomparable different things, one is a situation (poverty) while another is a human being (personality)-- they are two contrary things to place them on the same scale and judge them by the same weighing stone. It could better be situation versus situation and personality versus personality, that's the things of the same nature.

The birds of the same feathers flock together.
 
Mke mkorofi utamkwepa lakini umasikini haukwepeki.

Umasikini utakuua haraka kuliko huyo bad wife.
Kumkwepa wapi Mzee utamkwepa kwa kifo au kumkimbia

Umasikini unakwepeka kwa kufanya kazi na kujikimu
 
Kumkwepa wapi Mzee utamkwepa kwa kifo au kumkimbia

Umasikini unakwepeka kwa kufanya kazi na kujikimu
Kweli umenene jomba,bad wife akuepeki atakumaliza hata kabla ya kumuwaza kumkuepa.
 
Back
Top Bottom